onyo

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

    Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank. Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS. Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa. Amewahi Ongea Mzee...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel waanza kupiga maeneo ya karibu na makazi ya Ayatollah na Ikulu, ichukuliwe kama onyo watapiga popote

    Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaipa Onyo Iran. Mataifa ya Kiarabu Yaungana na Marekani Kudungua Makombora ya Iran

    Baada ya Israel kuishambulia Iran Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kumekuchaaa, watacheza, boss kakimbilia USA, apewa onyo!

    Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende. Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili! Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

    Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake. Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia. Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Mbeya: Ole wake yeyote mwenye nia ovu ya kufanya uhalifu au kudhuru askari au familia yake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] na watu wasiofahamika na kisha kutoweka naye kusikojulikana. Katika hatua za awali, Jeshi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  12. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu . Pause : Mimi naitwa Mkisi ...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kulimwa barua ya onyo kali na Trump nayo yatoa vitisho

    Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran: "Mheshimiwa Ayatullah Khamenei, Kwa heshima ya nafasi yako na watu wa Iran, ninakuandikia ujumbe huu kwa lengo la kufungua upeo mpya wa mahusiano yetu, mbali na miaka ya migogoro na kutoelewana ambayo tumeshuhudia katika miongo kadhaa iliyopita. Wakati...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wapewa onyo kali kama watathubutu kuwadhuru mateka wa kiyahudii huko Gaza

    Jeshi la Israel limetoa ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa magaidi hao. Jeshi hilo limesema huko kutasababisha eneo lote łka Gaza kuchukuliiwa na majeshi hayo.
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un ampa onyo kali Donald Trump asema msaada wowote wa Marekani utazuiliwa na kuangamizwa vibaya!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameionya Marekani kupitia shirika la habari la serikali, KCNA, akisema kuwa “msaada wowote wa kijeshi” ambao Marekani itatoa katika Asia ya Kaskazini “utazuiliwa na kuangamizwa kabisa.” Hii inakuja wakati Japan inapanga kupeleka makombora ya masafa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa onyo, yaua viongozi watano wakuu wa Hamas waliokataa kuwaachia waisrael waliotekwa

    Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas. Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target. Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis. Mkuu...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Onyo kali kwa wanaozisema vibaya dini za wengine

    Kuisema vibaya dini ya jirani yako kunaweza kuleta madhara makubwa, sio tu kwa yule anayehusika na dini hiyo, bali pia kwa jamii na hata kwa mzungumzaji mwenyewe. Madhara hayo ni pamoja na kuchochea uhasama na migogoro. Maneno mabaya kuhusu dini ya mtu mwingine yanaweza kusababisha chuki na...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuonya Mchengerwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
Back
Top Bottom