nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni ipi Scholarship Nzuri Kwa Aliyesoma Degree Ya Human Resource Management.ili kujiendeleza na Masters?

    Naomba kujua taratibu za Scholarship kwa aliyemaliza degree ya HRM. njia za kupata scholarship
  2. Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  3. INAUZWA Mashine ya juisi ya miwa, Nzuri sana kwa bei nafuu sana

    Habari Jf. Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa. Mashine inatumia engine ya petrol. Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua. Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina 1.3milion. Mashine iko Ubungo River side. Atakayenunua namtolea elfu 30 ya usafiri. Piga simu au...
  4. Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wadau tushirikishane kampuni nzuri na best inayomfaa mteja kuagiza magari nje ya nchi. Na pia wale ambao wamewahi kuagiza watupe uzoefu wao na waliyopitia, je gari uliyoletewa ndio yenyewe? Vifaa vya ndani je ndivyo vyenyewe? Pia wale ambao hununua magari...
  5. Nitapata wapi body-to-body nzuri massage hapa Magomeni

    Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
  6. G

    Ni njia gani nzuri yakupanga uzazi yenye uhakika wasilimia miamoja ? Jee kondom yaweza kuwa nauhakika wa asilimia mia moja?

    Waungwana wasalaam kwenu ebunaomba kujuzwa hilijambo nisilo lielewa sana kuhusu mpango uzazi. Najua kuna njia nyingi sana ila nahofia madhara kwabaadhi yanjia nyingine mfano za vitanz shindano nk. Nataman kutumia kalenda nasiku ninazo zishuku nitumie kondom sasa hapa ndipo napatashaka kuhusu...
  7. T

    Hebu tujuzane benki zinazotoa rates nzuri iwapo uta-fix hela kwenye account

    Kama mtu ukitaka kufix hela kwenye account kwa miezi 3 au sita ili upate riba/faida, ni bank ipi ina rate nzuri kwa miaka hii? tf.
  8. Kozi nzuri ya computer

    habari.. Wadau kuna dogo amemaliza form 4 anadai anataka kusomea kompyuta.je ni kozi gani nzuri(inayoenda na upepo wa ajira kwa sasa) asanteni..
  9. Tyres Used nzuri kwa Bei Rafiki

    Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15. Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa. NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE...
  10. GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation." Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
  11. Maadhimisho ya siku ya Choo Duniani: Watu bilioni 4.2 hawana huduma nzuri za vyoo

    World Toilet Day celebrates toilets and raises awareness of the 4.2 billion people living without access to safely managed sanitation. It is about taking action to tackle the global sanitation crisis and achieve Sustainable Development Goal 6: water and sanitation for all by 2030. This...
  12. S

    Perfume lovers: Ni perfume gani nzuri zaidi kati ya hizi?

    Kwa wale wapenda perfume wenzangu naomba mnisaide kati ya hizi perfume ipi ina halufu nzuri zaidi. Blue de Chanel vs Yves Saint Laurent Y Nina mpango wa kununua perfume na nimeona wengi wanaziongelea hizi sijawai zitumia wala kufahamu zinanukiaje.
  13. Hotuba ya Rais Rais Bunge la 12 ni nzuri lakini sikuipenda

    Imejaa mambo mengi sana ya kutimiza kwa miaka 5. Inatia mashaka kuwa huenda akaanzisha miradi mingi sana itakayolazimu aongezwe muda ili aikamilishe mwenyewe vizuri na kwa ubora kama alivyokusudia. Ningetamani kama angejikita kwenye umalizaji wa reli, bwawa la umeme, uchimbaji wa chuma na makaa...
  14. Kwa mahitaji ya garden nzuri nyumbani na maofisini

    Tutafute TRUE GARDEN DESIGNERS kwa namba hizi hapa..0687239674 na 0717580898 tunapatikana masaa 24.
  15. Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

    Inaitwa Lupita.
  16. Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

    Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits. Nashukuru.
  17. Kama Marefa wataacha kutuharibia Team Yanga tunaweza kuwa na Team nzuri

    Nimeumia sana kwa kitendo cha jana. Pamoja na Simba kutokuwa na washambuliaji wao Mahiri bado wanafunga ktk wakati ambao tuliamini tumeshinda. Mimi ni Mwanayanga ambaye huwa siumi umi maneno. Jana Simba wameshinda 1-0 ukiondoa lile bao la penalty ambalo tulipewa. Najua wanayanga wenzangu...
  18. Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

    Kwa upande wangu mimi muvi za animation nilizokubali kuna: 1. How to Train ze Dragon 2. The Monsters 3. The Croods 4. Aladdin. Mimi nimeanza na hizo na wewe kama mdau wa animation ongezea basi. =========================================================================================== Public...
  19. Upinzani mmecheza karata nzuri kuhakikisha wote mnakamatwa na polisi ndani ya kipindi kifupi tu baada ya uchaguzi

    Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki. Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
  20. D

    Naomba mwenye kujua aina ya kengele imara na nzuri za majumbani na ofisini

    Wadau mwenye kujua aina ya kengere imara ya kufunga majumban au ofisini kwa ajili ya hodi kwa wageni naomba anijuze tafadhari! Nimefunga nyingi za kichina naona hazidumu kabisa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…