INAUZWA Mashine ya juisi ya miwa, Nzuri sana kwa bei nafuu sana

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
739
1,106
Habari Jf.
Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa.

Mashine inatumia engine ya petrol.

Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua.

Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina 1.3milion.

Mashine iko Ubungo River side.

Atakayenunua namtolea elfu 30 ya usafiri.

Piga simu au sms kwenda 0744033555 tumalize biashara.
 

Attachments

  • IMG-20201213-WA0036.jpg
    IMG-20201213-WA0036.jpg
    26.4 KB · Views: 71
  • IMG-20201213-WA0035.jpg
    IMG-20201213-WA0035.jpg
    24.2 KB · Views: 72
Mbona bei sana..na inaonekana imetumika..wakati mpya tunanunua kwa m1.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona haitumiki?
Ilinunuliwa mkuu, ikawekwa ndani tukawa tunangoja kuweka kimradi mahali.

Bahati mbaya tukasimama kabla hata ya kuanza.

Mashine bado ni mpya kabisa

Njoo ukague, uijaribu na ujibebee mashine kwa bei rafiki
 
Back
Top Bottom