nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    ANGALIZO Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
  2. fatherhood

    JamiiForums Tanzania Vijana video za X sio njia nzuri ya kujifunzia mapenzi

    Habari JF; Leo nataka niongee na vijana wenzangu wa jinsia zote, kuhusu video za porn maarufu kama XXX. Vijana wengi wanatumia video za X kama njia ya kujifunza jinsi kufanya mapenzi na staili mbali mbali . Kwanini kijana hutakiwi kutumia video za X kama njia ya kujifunzia mapenzi? 1...
  3. Darucha

    JamiiForums Tanzania Napatwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa kasi pindi ninavyolala au kuamka kwa haraka

    Kuna Hali imenikuta ambayo nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani au kama kuna mtu amewahi kukutana na aina hii ya ugonjwa aniambie. Yaani napigwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa Kasi pindi ninavyolala na ninavyoamka haraka sometimes nataka nianguke kabisa. Kama mtu anaweza kunishauri...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
  6. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Salaam wakuu, Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare. Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi? NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
  7. T 2021 SSH

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata nguo nzuri za mitumba kwa Mwanza

    Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Naomba msaada kwa wajuzi?
  8. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Hali sio nzuri, jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

    Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa Nawa mikono mara kwa mara Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao. MUngu...
  9. Blue G

    JamiiForums Tanzania Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

    Habarini Wana MMU, Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati hasa kwa kuwa vijana wengi siku hizi ni wazee wa pisi kali wakiamini kuwa na pisi kali au smart...
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Gari nzuri Kati ya Prado Tx cc 2690 na Toyota klugger cc 2360

    Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi. Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo. 1. Uimara 2. Matumizi ya mafuta 3. Service 4. Muonekano Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz. Ila kila nikiangalia hizi...
  11. cpb

    JamiiForums Tanzania Natafuta njia nzuri ya kusafirishia abiria

    Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi. Gari yangu ina uwezo wa kubeba abiria kuanzia 5 Hadi nane hivi hata kama ni rough road walau pawe...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Inakuaje Tabora ambayo si tegemezi kwa kila kitu inakuwa na barabara nzuri kuliko Mbeya tegemeo la chakula?

    Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa. Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Habarini ndugu zangu, Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo. Kuna mtu...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
  15. kaka km

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

    Wenyeji wa Dar naomba msaada wenu. Gari yangu ina tatizo na nadhani watu wa Diagnosis wataweza kujua tatizo lake ni nini, huko mikoani nimeipeleka kwa mafundi wengi hawajagundua tatizo. Gari ni Vanguard, ikiwa spidi ama gia ndogo kuanzia 0-30 inakua kama inashtuka, kama inataka kusimama ghafla...
  16. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja/ Sehem nzuri ya kuishi/ Kujenga Dar es Salaam

    Wenyeji na wakazi wa jiji la DSM, kwa mtu mwenye kipato cha kati ni maeneo gani kwa Dsm ambayo yametulia (siyo uswahili sana) naweza kupata kiwanja walau cha sqm 800 kwa bei kati ya 10m-15m. Natafuta kiwanja lakini sio mwenyeji sana na gharama za kupanga kwenye hili jiji zipo juu mno
  17. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Ipi ni Injini Nzuri ya gari kati ya Petrol ama Diesel

    Wakuu Salaam. Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel. Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili. Interms of Durability na Performance. Naombeni Michango yenu.
  18. Violet Nkata

    JamiiForums Tanzania Je, course ya Health Information Science ni nzuri?

    Habar wapendwa, Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu hii course ya health information science kuwa ina husu nn na je n nzuri. Nmemaliza kidato Cha nne mwaka jana nmefaulu kwa divsn 1 ya 12 na nmepangiwa chuo Cha afya mtwara kusomea course ya health information science asa mnanishauri nifanye nn...
  19. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

    Habari zenu, Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo. Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani. Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri Adolf Mkenda, Waziri mwenye presentation skills nzuri zaidi na presidential material

    Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.
Back
Top Bottom