Perfume lovers: Ni perfume gani nzuri zaidi kati ya hizi?

stivii

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
222
143
Kwa wale wapenda perfume wenzangu naomba mnisaide kati ya hizi perfume ipi ina halufu nzuri zaidi.

Blue de Chanel vs Yves Saint Laurent Y

Nina mpango wa kununua perfume na nimeona wengi wanaziongelea hizi sijawai zitumia wala kufahamu zinanukiaje.
 
Uzuri na ubaya wa Perfume unategemeana na mtu mwenyewe,mimi naweza kupenda harufu ya Perfume fulani ni nzuri ila mwingine akaona ni mbaya,perfume hutambulika harufu yake kwa sense of smell,

So,the choice is yours.
 
hata kapicha hamnaa
Inst-image-14.jpg
IMG_20201117_101608.jpg
 
Uzuri na ubaya wa Perfume unategemeana na mtu mwenyewe,mimi naweza kupenda harufu ya Perfume fulani ni nzuri ila mwingine akaona ni mbaya,perfume hutambulika harufu yake kwa sense of smell,

So,the choice is yours.

Nimeomba maoni kwa waliowahi tumia wanipe experience yao, wewe umeshawai tumia yoyote kati ya hizo?
 
Mi nimetumia yst ile ya chupa nyeusi ndo naimalizia kiukweli lazima ninunue tena in master piece aise haiboi na harufu nzur,blue wanaisifia Ila sijawah tumia ila yst ni nzur snaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom