Ikitokea DC Sabaya akasafishika vyema na kutakata vilivyo kwa Sabuni nzuri ya Haki tuliomshadadia tutaficha wapi Minyago yetu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.

Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi kupisha Uchunguzi wote nane hao baadae walikuja Kuonekana hawana Hatia tena kuna wengine sasa wapo Kazini baada ya Kurejeshwa.

Hivyo basi kufuatia utaratibu huu naanza kuona kuwa hata huyo Ole Sabaya nae ambao Sisi Wababe wa Mitandao ( Keyboard Warriors ) tumekesha Kumshambulia, Kumcheka na Kumdhihaki kwa kila namna huenda nae akaja Kusafishika na Kutakata vyema na Sabuni nzuri ya Haki na tukakosa sehemu ya Kuficha Misura ( Minyago ) yetu iliyokomaa kama Kuta za Jengo la Tanganyika Packers Kawe.

Kwa mbali sana naanza Kuhisi hiki kilichomtokea DC Ole Sabaya ni Mchezo tu uliopangika vyema ili Kucheza na Akili za Watanzania wengi wanaopenda Mihemko, Matukio na ambao baadhi yao ( yetu ) wana ( tuna ) Mioyo iliyojaa Wivu ( Visununu ) tupu.

Nitaanza rasmi Kutowaamini Wanasiasa.
 
Mbona hata Abdallah Zombe alionekana hana hatia! Lakini mpaka leo anaishi maisha ya mawenge tu baada ya kuua watu wasio na hatia!

Hata mumpiganie kiasi gani humu jukwaani, Lengai Ole Sabaya atabakia kwenye kumbukumbu vizazi hata vizazi ya kwamba amejihusisha kwa muda mrefu na vitendo vya kihalifu dhidi ya raia wema kwa kutumia cheo chake cha kupewa na yule hayati dikteta uchwara.
 
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.

Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi kupisha Uchunguzi wote nane hao baadae walikuja Kuonekana hawana Hatia tena kuna wengine sasa wapo Kazini baada ya Kurejeshwa.

Hivyo basi kufuatia utaratibu huu naanza kuona kuwa hata huyo Ole Sabaya nae ambao Sisi Wababe wa Mitandao ( Keyboard Warriors ) tumekesha Kumshambulia, Kumcheka na Kumdhihaki kwa kila namna huenda nae akaja Kusafishika na Kutakata vyema na Sabuni nzuri ya Haki na tukakosa sehemu ya Kuficha Misura ( Minyago ) yetu iliyokomaa kama Kuta za Jengo la Tanganyika Packers Kawe.

Kwa mbali sana naanza Kuhisi hiki kilichomtokea DC Ole Sabaya ni Mchezo tu uliopangika vyema ili Kucheza na Akili za Watanzania wengi wanaopenda Mihemko, Matukio na ambao baadhi yao ( yetu ) wana ( tuna ) Mioyo iliyojaa Wivu ( Visununu ) tupu.

Nitaanza rasmi Kutowaamini WanasiasaE
Weewe unaota nini?

Hivi unaona hizo tuhuma za Sabaya, atatobolea wapi??
 
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.

Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi kupisha Uchunguzi wote nane hao baadae walikuja Kuonekana hawana Hatia tena kuna wengine sasa wapo Kazini baada ya Kurejeshwa.

Hivyo basi kufuatia utaratibu huu naanza kuona kuwa hata huyo Ole Sabaya nae ambao Sisi Wababe wa Mitandao ( Keyboard Warriors ) tumekesha Kumshambulia, Kumcheka na Kumdhihaki kwa kila namna huenda nae akaja Kusafishika na Kutakata vyema na Sabuni nzuri ya Haki na tukakosa sehemu ya Kuficha Misura ( Minyago ) yetu iliyokomaa kama Kuta za Jengo la Tanganyika Packers Kawe.

Kwa mbali sana naanza Kuhisi hiki kilichomtokea DC Ole Sabaya ni Mchezo tu uliopangika vyema ili Kucheza na Akili za Watanzania wengi wanaopenda Mihemko, Matukio na ambao baadhi yao ( yetu ) wana ( tuna ) Mioyo iliyojaa Wivu ( Visununu ) tupu.

Nitaanza rasmi Kutowaamini Wanasiasa.

Mkuu hayo waachie opportunists - wasaka fursa. Itoshe kusema zaidi ya 60% kama alivyosema professor Assad wako huko na hawafai kabisa.

Huyu ni mmoja wao tu kama papa baharini. Wengine wengi bado wapo. Hawafai!
 
Ole sabaya ni mtu mdogo sana katika muundo wa serikali.

Wakati wa Nyerere madereva wa viongozi wakistaafu ndio walikuwa wanazawadiwa uDC!
 
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.

Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi kupisha Uchunguzi wote nane hao baadae walikuja Kuonekana hawana Hatia tena kuna wengine sasa wapo Kazini baada ya Kurejeshwa.

Hivyo basi kufuatia utaratibu huu naanza kuona kuwa hata huyo Ole Sabaya nae ambao Sisi Wababe wa Mitandao ( Keyboard Warriors ) tumekesha Kumshambulia, Kumcheka na Kumdhihaki kwa kila namna huenda nae akaja Kusafishika na Kutakata vyema na Sabuni nzuri ya Haki na tukakosa sehemu ya Kuficha Misura ( Minyago ) yetu iliyokomaa kama Kuta za Jengo la Tanganyika Packers Kawe.

Kwa mbali sana naanza Kuhisi hiki kilichomtokea DC Ole Sabaya ni Mchezo tu uliopangika vyema ili Kucheza na Akili za Watanzania wengi wanaopenda Mihemko, Matukio na ambao baadhi yao ( yetu ) wana ( tuna ) Mioyo iliyojaa Wivu ( Visununu ) tupu.

Nitaanza rasmi Kutowaamini Wanasiasa.
Utawala wa sheria unasema....kamwe huwezi kumuhukumu mtu kwa kusikiliza majungu au kelele tu za watu wenye chuki binafsi.

utawala wa sheria ni kusikiliza hoja zenye ushahidi lkn pia mhusika kupewa nafasi ya kutoa utetezi wake juu ya tuhuma hizo.

kama tutasikiliza malalamiko na kumuhukumu mhusika tutakuwa tumekiuka haki za msingi.

tunaomba mamlaka zisiwahukumu viongozi wetu wanao tuhumiwa bila kujiridhisha.

kamwe tusisukumwe na presha ya kelele, tuwatendee haki viongozi wetu.
 
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.

Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi kupisha Uchunguzi wote nane hao baadae walikuja Kuonekana hawana Hatia tena kuna wengine sasa wapo Kazini baada ya Kurejeshwa.

Hivyo basi kufuatia utaratibu huu naanza kuona kuwa hata huyo Ole Sabaya nae ambao Sisi Wababe wa Mitandao ( Keyboard Warriors ) tumekesha Kumshambulia, Kumcheka na Kumdhihaki kwa kila namna huenda nae akaja Kusafishika na Kutakata vyema na Sabuni nzuri ya Haki na tukakosa sehemu ya Kuficha Misura ( Minyago ) yetu iliyokomaa kama Kuta za Jengo la Tanganyika Packers Kawe.

Kwa mbali sana naanza Kuhisi hiki kilichomtokea DC Ole Sabaya ni Mchezo tu uliopangika vyema ili Kucheza na Akili za Watanzania wengi wanaopenda Mihemko, Matukio na ambao baadhi yao ( yetu ) wana ( tuna ) Mioyo iliyojaa Wivu ( Visununu ) tupu.

Nitaanza rasmi Kutowaamini Wanasiasa.
Watanzania hupenda kuwatakia mabaya wenzao
 
Kwa kuwa ametoka si ndo furaha yetu.. Hayo mambo mengine atajua mwenyewe na maisha yake.. Si tulikuwa hatumuihitaji pale ofisini petu..
Inakuwaje ofisi umma unafanya kama Mama ako, alale mbele huko.
 
Hiyo haiondoi ukweli kua mtu anaweza kua mchafu kwasababu wanaofanya huo uchunguzi ni binadamu kama mimi na wewe.Kama ilivyo mahakamani sio wote wanaokutwa na hatia wanakua walifanya kosa husika hali kadhalika sio wote wanaoshinda na kuonekana hawana hatia wanakua kweli hawakutenda kosa husika.Kwahiyo mambo mengine itategemea na upepo uko upande gani au umejipangaje.Swala lakujiuliza ni kwamba kwanini iwe yeye na sio Dc mwingine kati ya wengi waliopo nchini.na kumbuka huyu bwana alishalalamikiwa mambo mengi uko nyuma na hata ukimsikiliza jinsi anavyoongea unaona kabisa anaongea kwa kiburi flani na majivuno.Sasa watu wa aina hii sio rahisi sana kumkuta hakutumia madaraka yake vibaya vinginevyo waamue kulindana au kusafishana.
 
Mimi MTU anayemtetea bwana "ole Guna" napata shida sana kumwelewa, huyu alimwonyesha hadharani dharau mkuu wake wa Mkoa Kilimanjaro, nadhan yule mama alijisikia vibaya sana ila kaja kukutana tena na mama, kwa mwenye akili unayejua kumuheshimu mwanamke, hutokuwa upande wake. Wacha anyooshwe na mama.
 
Clouds media walijaribu kumsafisha wakaangukia pua!
89076yg.jpg
 
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.

Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi kupisha Uchunguzi wote nane hao baadae walikuja Kuonekana hawana Hatia tena kuna wengine sasa wapo Kazini baada ya Kurejeshwa.

Hivyo basi kufuatia utaratibu huu naanza kuona kuwa hata huyo Ole Sabaya nae ambao Sisi Wababe wa Mitandao ( Keyboard Warriors ) tumekesha Kumshambulia, Kumcheka na Kumdhihaki kwa kila namna huenda nae akaja Kusafishika na Kutakata vyema na Sabuni nzuri ya Haki na tukakosa sehemu ya Kuficha Misura ( Minyago ) yetu iliyokomaa kama Kuta za Jengo la Tanganyika Packers Kawe.

Kwa mbali sana naanza Kuhisi hiki kilichomtokea DC Ole Sabaya ni Mchezo tu uliopangika vyema ili Kucheza na Akili za Watanzania wengi wanaopenda Mihemko, Matukio na ambao baadhi yao ( yetu ) wana ( tuna ) Mioyo iliyojaa Wivu ( Visununu ) tupu.

Nitaanza rasmi Kutowaamini Wanasiasa.
Anaweza kusafishika ktk mtizamo wa kisiasa lkn hawezi sifishika miongoni mwa jamii na watu aliowaumiza,
 
Back
Top Bottom