Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda yamepunguza adha na changamoto ya usafiri kwa kiasi kikubwa sana hasa katika maeneo ambayo...
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani?
Ufaulu div 3.13 HGK
Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza,
Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi
ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55''
Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano
Picture mode nichague ipi kati ya...
Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu
Wale wenzetu waislamu salaam aayqum.
Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani?
Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo?
Naombeni ushauri.
Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi.
Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%.
Binafsi napongeza hizi hatua za...
Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani.
Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio.
Hivyo...
HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA?
'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao'
Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia.
Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8
Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB
MaH-3500
Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa na mm mwenyewe Mwanamke, kama mnavyojua Wanawake hua tuko vizuri kwenye utunzaji.
Camera: Camera...
Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania
Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne
Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
Wakuu habari.
Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka.
Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800.
CPU bado ipo katika hali nzuri,
niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka.
Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure.
Bei ni laki mbili tu.
CPU ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.