Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi?
Nipo na girlfriend wangu.
Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na uko pia.
Sasa nataka kujua ni wirelee earphone gani ambazo ni bei rahisi na zenye kutoa mziki mzuri...
Wadau habari.
Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji.
Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua unga wa njano!
Pamoja na hayo, lazima nikili yakuwa Kwa miaka takribani sita Sasa nimekuwa...
Habari
Naomba kuuliza kwa hapa Dar ni hospital gani binafsi nzuri ya mifupa ambapo doctor anapatikana kila siku kwa maana kuanzia jumaatatu hadi jumaamosi?
Asante.
Natumain wazima?
Kama kichwa cha habari kilivyo. Maisha yanahitaji akili ichangamke na kujituma hakuna janja janja,Kwa mlioajiriwa muda mwingi ofisi zinawahitaji muhudimie na Kwa muda sahihi ulioangwa.Mnawezaje na mnatumia mbinu gani kuweza kubalance mambo na mkakua kiuchumi na kazi zikaenda...
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage.
Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni.
Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
Ilikuwa ni mida ya saa 11 na robo hivi nikiwa nimetoka kazini nimeenda kiwanja flani kufanya mazoezi. nilifika nikaona kuna majabizano ya kelele kati ya watu wawili.. wa kwanza tumwite papai ni mrefu kiasi ila hana mwili wa mazoezi, wapili tumuite nazi huyu ni mfupi kuzidi X lakini ana mwili wa...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46.
Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima.
---
Earthquake in...
Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.
Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi...
Habari wakuu?
Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo?
Natanguliza shukran za dhati wakuu!
Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini.
Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
Kwa namna yoyote ni lazima tulipe kodi au tozo ili tusimame kama nchi inayojitegemea.
Wahuni wameharibu maana nzima ya tozo au kodi kiasi cha kuzua taharuki nchini.yaani watendaji wetu wamefanya kusudi katika implimentation ya namna ya kulipisha kodi kwa kila Mtanzania.
HOJA MUHIMU
1-Kila...
Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.
Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.
Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.
Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.
Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Habari zenu wana Jamii forums.
Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu.
Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.