MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
1,348
1,298
Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate kauzoefu kabla ya safari.

Karibuni!
 
Tafsiri ya gharama sana ni kias gan? ZNZ hakuna mtandao wa lodges na Gesthouse kama huku bara nyingi ni Hotels

May be uandae budget ya kuanzia Dollar 30 kupata Malazi kuhsu hayo mengine ya totoz labda kama kama utaenda kwenye night clubs zao eg Kwa Komba kama bado ipo.
 
Nami Niko hapa kujifunza mana Nina kaVacay huko soon so ukiwa na details inasaidia.wajuvi mkuje mtupe muongozo hapa.
 
Huko malazi andaa minimum 80,000. Pombe popote zipo na totozi zipo
 
Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate kauzoefu kabla ya safari.

Karibuni!
Usisahau cheti cha ndoa (Original) kama utakuwa na mwenza wa jinsia tofauti
 
Zanzibar kuna hotel inaitwa Baraste lodge kagorofa flani hivi, madem zangu wawili nilifika nao hapo kwa nyakati tofauti pale ni pazuri sana sema kwa siku ni 65,000 kuendelea , chumba kikubwa full ac , friji, viatanda viwili ukienda hatanna watoto fresh, choo bafu humo humo , asubuhi unapata breakfast safi

Sema kwa kipindi hichi ukilia nao 60 hadi 65 unapata chumba cha gorofani safii tu full ac
 
Hapo baraste (Mlandege) upande wa pili ndani kidogo ipo super lodge chumba 45000, pia ni nzuri kama Budget ndogo. Ina Ac, Wifi, Hot Bath etc.
 
Tafsiri ya gharama sana ni kias gan? ZNZ hakuna mtandao wa lodges na Gesthouse kama huku bara nyingi ni Hotels

May be uandae budget ya kuanzia Dollar 30 kupata Malazi kuhsu hayo mengine ya totoz labda kama kama utaenda kwenye night clubs zao eg Kwa Komba kama bado ipo.
Asante Mkuu
 
Zanzibar kuna hotel inaitwa Baraste lodge kagorofa flani hivi, madem zangu wawili nilifika nao hapo kwa nyakati tofauti pale ni pazuri sana sema kwa siku ni 65,000 kuendelea , chumba kikubwa full ac , friji, viatanda viwili ukienda hatanna watoto fresh, choo bafu humo humo , asubuhi unapata breakfast safi

Sema kwa kipindi hichi ukilia nao 60 hadi 65 unapata chumba cha gorofani safii tu full ac
Asante Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom