🚨 Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
387
1670842972523.png

.
Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV..
.
Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na nikufahamishe tu katika top selling cars za Toyota Rav yumo na bei zake hazishuki kiboya boya, asa kuna vitu muhimu tutavigusa kuhusu huyu Miss TZ kaa vizuri tuanze safari..
.
Rav 4 Miss TZ [alipewaga zawadi miss Tz ndo hili jina likaja] coded XA kama nilivyosema hapo juu alitambulishwa 2005 akaingia mpaka 2012, gari imetoka ikiwa na short wheel base [Kwa Japan, Europe, New Zealand] na long wheel base [kwa Australia, New Zealand and North America]..
.
Bongo zinakuja short wheel base sana sababu sisi huwa tunachukua za Japanese Domestic Market na unakuta zina spare tyre nyuma, za long wheel base nyuma hamna spare tyre, imekuja ikiwa na platform mpya kabisa na hapa ndo waliachana na Rav 4 short chassis [Milango mitatu]..
.
1670843189270.png
1670843202433.png

.
Tukianza na ndani ilikuwa more styled, seat za mbele zimepewa back support na legroom ikawa kubwa hata tall anakaa fresh kabisa + Visibility nzuri ya barabara kwa dereva. Dashboard graphics zimeboreshwa [a bit glitchy] yani wamezi digitalise na kuzipa muonekano mzuri zaidi Pale kwa infotainment Redio/stereo CD system imepachikwa vizuri wakiweka na air condition button kwa chini zikipewa access kwa dereva kwa urahisi zaidi.. .
.
Kwa redio kuna trim zina CD changer na dual auto climate control, Pia zipo zina support flash, card na Bluetooth Hapa kwa dual auto climate control nayo ni feature poa sana as inawapa uhuru dereva na abiria kuchagua hali ya hewa in a separate way, Yani mfano dereva anataka ubaridi sana na wewe unataka kiasi, basi kila mtu atafanya setting kutokana na mahitaji yake, na hii ni nzuri kwa Wale madereva makauzi, unakuta kipindi cha baridi/mvua ila jamaa amefungulia ac kali na hana habari wakati wengine mnatetemeka balaa..
.
1670843643112.png
1670843695345.png

.
Seat za nyuma wameongeza space [legroom] na abiria anakaa vizuri, kama umekaa kwenye Rav old au kilitime ukikaa kwa miss Tz utaona utofauti. Boot ipo ya kutosha inakula mzigo mwingi tu yani hata kama una mishangazi kaja mitatu mikubwa inatosha humo ndani vizuri kabisa..
.
1670843782458.png
1670843965411.png

.
Gari muonekano wa nje uko vizuri sitaongelea sana hapa angalia picha kuazia mbele, pembeni mpaka nyuma yani imekaa poa tu haichoshi kuangalia..
.
Gari imekuja na engine option kadhaa za Petrol na Diesel, Kwa Petrol kuna 2.0L 1AZ-FE, 2.0L 1AZ-FSE, 2.0L 3ZR-FAE I4 2.4 L 2AZ-FE, 2.5 L 2AR-FE na 3.5 L 2GR-FE V6. Kwa Diesel kuna 2.2L 2AD-FTV I4-T na 2.2 L 2AD-FHV I4-T zikiwa linked na Transmisioon gearbox za 6-speed Manual, 5-speed manual, 4-speed automatic, 5-speed automatic, 6-speed automatic na 7-speed automatic CVT-i, kukiwa na option ya 2WD na 4WD..
.
Kwa Bongo machine common ambazo tunatumia ni 2.4L 2AZ-FE na Kuna wababe wachache wana 3.5L 2GR na Diesel Engines tunazotoa hasa UK, 2AZ ni engine nzuri na naweza soma ni moja ya Engine za Toyota himilivu sana from Toyota na ipo kwenye gari kama Kluger, Harrier, Blade etc.. .
.
1670844143562.png
1670844162297.png

.
Mafuta inatumia wasitani wa km 10-13Km/L Full tanks ni Litre 60, 2AZ ni engine ambayo ukizingatia service on time haitakupa shida..
.
Though huwa zita tabia ya kula oil zikianza kuchoka, sasa kama uko na engine kama hii usiwe unasubiri mpaka muda wa kufanya service ndo unaingalia sometime chomoa oil stick then angalia level ya oil kama imepungua ongeza hasa kwa gari zilizokuja na Km zaidi ya 120,000.. .
.
Na hii gari Rav 4 wamejitahidi sana kupunguza Matatizo yaliyokuwa kwenye kilitime [matoleo ya nyuma], na imekuja kuwa miongoni mwa gari nzuri na reliable [haisumbui], Ni gari flani iko styled lakini ni imara na inaweza kuvumilia mazingira ya Namtumbo.. .
.
Changamoto common za hii gari ni vitu kama oil leaks na mara Nyingi inakua kwenye cover la timing chain/belt hasa kwa engine zenye km nyingi, Pia kuna time zinakosa nguvu au inachelewa kuchanganyia sababu ya failure za Oxygen sensor..
.
Sometime hata unapata misfiring [inamiss] sema ikifika stage hii itakuwashia taa ya check engine. Hapa Kikubwa ni kusafisha hizi sensor au kama zimechoka unafanya replacement [ziko mbili kuna moja pale inapopumulia nyingine kwenye catalytic converter].. .
.
Pia ina tabia ya kufa ignition coil, hii ni wear and tear [kuchoka] ya kawaida tu, ikitokea fanya replacement mapema Ukizipuuzia zita tabia ya kuua na zingine ambazo ni nzima..
.
1670844484811.png
1670844547731.png

.
Utakua umejiuliza igntion coil ni nini, kwa lugha nyepesi ni coil zinazo badilisha umeme wa battery kwenda kwenye high voltage [current]. Then unaenda kwa plugs kutoa cheche gari ichome mafuta inavyotakiwa.
.
Matege ni kawaida as nyuma kuna kitu kinaitwa camber kikichoka ndo matege yanakuja So ukiona tege limezidi peleka gari kwa fundi tu aki service miguu basi tege linarudi vizuri as intended Though binafsi tege likiwa jipya huwa nalipenda gari inakua kama imeatamia barabara.
.
1670844629753.png
1670844648511.png

.
Kuhusu Parts na maintenance hilo sio swala la kuwaza, Toyota Tena Rav 4 vipuri vipo vya kumwaga tu, hata body parts zinapatikana + hii gari ina electric power steering (EPS) system sasa kwenye mashimo au rough road kuwa smart pita taratibu acha kufukia mashimo hizi Steering za umeme rough road huwa inazipunguzia maisha sana, zenyewe zinapenda lami.. .
.
Gari ina matoleo/model ranges, kuna X, G na Sport yani hapa waliachana Rav4 L na Rav 4 J, Rav 4 X ni base model ikiwa na 17-Inch steel rims, 2WD/4WD, rear mounted spare wheel, CD/Radio Player bila LCD, plain steering wheel, unawasha kwa funguo na haina fog lights. .
.
Rav4 Style hii ni Luxury Package ikija na alloy rims za inch 17, 2WD/4WD, internal mounted spare wheel Infotainment ina Navigation, multi function steering wheel, pus to start, fog lights na Bluetooth..
.
Mwisho ni Rav 4 Sport Package hii inakuaja na Alloy rims za inches 18, 4WD, rear mounted spare wheel.. . Infotainment ina navigation, multi function steering wheel, push start, fog lights na Bluetooth connectivity.. . So hapa ni kuangalia kinachokupendeza then unafanya maamuzi..
.
1670844901561.png
1670844918159.png

.
Katika hizi Trims/model nakushauri chukua Luxury package au sport package hizo ndo zenye utamu zaidi, Ground clearance ipo ya kutosha ni inches 7.5 ambayo inafaa kabisa kwa off road driving, Hata gari iko na mzigo wa kutosha inakua safi tu, Hii ground clearance ni nzuri..
.
Nikukumbushe hii gari sio pure off roaders lakini inafanya vizuri sana kwenye njia mbovu hasa ukiwa na 4WD, Inshort naweza sema hii gari ni one of the very reliable car from Toyota ikikupa comfortability, reliability na imetulia + unaenjoy kuiendesha...
.
Kwenye mafuta ukiCompare na 4WD wenzake kama kina Harrier 4WD inafanya vizuri sana, Kama una njia za mchanga, utelezi, vilima vikali etc 4WD ni option nzuri na itakufaa, Ila kama uko town barabara nzuri tumia tu 2WD iko poa sana Mzee.. .
.
1670845099090.png
1670845117523.png

.
Hii gari ukiitunza [service] vizuri tofauti na tyres filters, battery, brake pads, shocks, hautagusa kitu kikubwa [major parts replacement]. Hata vitu kama shocks, bushes nk unaweza tembea km za kutosha tu ndo vikaisha [hasa genuine parts ]. Gari tukikuletea toka Japan mpaka inafika sebleni kwako gharama ni 29-35++ ...
.
Bei inaweza panda au shuka kutokana na mwaka + condition ya gari, freight charges na fluctuation ya $, etc.. . Kama unahitaji kuagiza gari Japan , karibu tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand ete dealers wanaotupa gari nzuri na kwa bei nzuri..
.
1670845235708.png
1670845246267.png
1670845254728.png
1670845274729.png

.
Mwezi December Japan kuna massive clearance sale so tuko na discount nzuri tunazopoewa kama dealers, na hizi discount ni kwa ajili yako, Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa salama, unaojali muda wako na usalama wa pesa yako ukikupa chombo salama..
.
Simply bofya link kwenye Bio njoo WhatsApp/ofisini Posta Mpya Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
.
1670845360665.png
1670845371517.png
1670845384653.png
1670845396822.png

Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo, Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare kwa ajili ya wengine na Kama hujatu follow katika kurasa zetu za jamii tu follow chap [IG, Twitter, FB @samatimemagari ] ili next time usipitwe na madini..
.
Asante
Samatime
0714547598
 
Attachments

  • 1670845579600.png
    1670845579600.png
    68.5 KB · Views: 105
  • 1670845624922.png
    1670845624922.png
    8.3 KB · Views: 127
View attachment 2443947
.
Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV..
.
Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na nikufahamishe tu katika top selling cars za Toyota Rav yumo na bei zake hazishuki kiboya boya, asa kuna vitu muhimu tutavigusa kuhusu huyu Miss TZ kaa vizuri tuanze safari..
.
Rav 4 Miss TZ [alipewaga zawadi miss Tz ndo hili jina likaja] coded XA kama nilivyosema hapo juu alitambulishwa 2005 akaingia mpaka 2012, gari imetoka ikiwa na short wheel base [Kwa Japan, Europe, New Zealand] na long wheel base [kwa Australia, New Zealand and North America]..
.
Bongo zinakuja short wheel base sana sababu sisi huwa tunachukua za Japanese Domestic Market na unakuta zina spare tyre nyuma, za long wheel base nyuma hamna spare tyre, imekuja ikiwa na platform mpya kabisa na hapa ndo waliachana na Rav 4 short chassis [Milango mitatu]..
.
View attachment 2443951View attachment 2443952
.
Tukianza na ndani ilikuwa more styled, seat za mbele zimepewa back support na legroom ikawa kubwa hata tall anakaa fresh kabisa + Visibility nzuri ya barabara kwa dereva. Dashboard graphics zimeboreshwa [a bit glitchy] yani wamezi digitalise na kuzipa muonekano mzuri zaidi Pale kwa infotainment Redio/stereo CD system imepachikwa vizuri wakiweka na air condition button kwa chini zikipewa access kwa dereva kwa urahisi zaidi.. .
.
Kwa redio kuna trim zina CD changer na dual auto climate control, Pia zipo zina support flash, card na Bluetooth Hapa kwa dual auto climate control nayo ni feature poa sana as inawapa uhuru dereva na abiria kuchagua hali ya hewa in a separate way, Yani mfano dereva anataka ubaridi sana na wewe unataka kiasi, basi kila mtu atafanya setting kutokana na mahitaji yake, na hii ni nzuri kwa Wale madereva makauzi, unakuta kipindi cha baridi/mvua ila jamaa amefungulia ac kali na hana habari wakati wengine mnatetemeka balaa..
.
View attachment 2443961View attachment 2443962
.
Seat za nyuma wameongeza space [legroom] na abiria anakaa vizuri, kama umekaa kwenye Rav old au kilitime ukikaa kwa miss Tz utaona utofauti. Boot ipo ya kutosha inakula mzigo mwingi tu yani hata kama una mishangazi kaja mitatu mikubwa inatosha humo ndani vizuri kabisa..
.
View attachment 2443965View attachment 2443969
.
Gari muonekano wa nje uko vizuri sitaongelea sana hapa angalia picha kuazia mbele, pembeni mpaka nyuma yani imekaa poa tu haichoshi kuangalia..
.
Gari imekuja na engine option kadhaa za Petrol na Diesel, Kwa Petrol kuna 2.0L 1AZ-FE, 2.0L 1AZ-FSE, 2.0L 3ZR-FAE I4 2.4 L 2AZ-FE, 2.5 L 2AR-FE na 3.5 L 2GR-FE V6. Kwa Diesel kuna 2.2L 2AD-FTV I4-T na 2.2 L 2AD-FHV I4-T zikiwa linked na Transmisioon gearbox za 6-speed Manual, 5-speed manual, 4-speed automatic, 5-speed automatic, 6-speed automatic na 7-speed automatic CVT-i, kukiwa na option ya 2WD na 4WD..
.
Kwa Bongo machine common ambazo tunatumia ni 2.4L 2AZ-FE na Kuna wababe wachache wana 3.5L 2GR na Diesel Engines tunazotoa hasa UK, 2AZ ni engine nzuri na naweza soma ni moja ya Engine za Toyota himilivu sana from Toyota na ipo kwenye gari kama Kluger, Harrier, Blade etc.. .
.
View attachment 2443970View attachment 2443971
.
Mafuta inatumia wasitani wa km 10-13Km/L Full tanks ni Litre 60, 2AZ ni engine ambayo ukizingatia service on time haitakupa shida..
.
Though huwa zita tabia ya kula oil zikianza kuchoka, sasa kama uko na engine kama hii usiwe unasubiri mpaka muda wa kufanya service ndo unaingalia sometime chomoa oil stick then angalia level ya oil kama imepungua ongeza hasa kwa gari zilizokuja na Km zaidi ya 120,000.. .
.
Na hii gari Rav 4 wamejitahidi sana kupunguza Matatizo yaliyokuwa kwenye kilitime [matoleo ya nyuma], na imekuja kuwa miongoni mwa gari nzuri na reliable [haisumbui], Ni gari flani iko styled lakini ni imara na inaweza kuvumilia mazingira ya Namtumbo.. .
.
Changamoto common za hii gari ni vitu kama oil leaks na mara Nyingi inakua kwenye cover la timing chain/belt hasa kwa engine zenye km nyingi, Pia kuna time zinakosa nguvu au inachelewa kuchanganyia sababu ya failure za Oxygen sensor..
.
Sometime hata unapata misfiring [inamiss] sema ikifika stage hii itakuwashia taa ya check engine. Hapa Kikubwa ni kusafisha hizi sensor au kama zimechoka unafanya replacement [ziko mbili kuna moja pale inapopumulia nyingine kwenye catalytic converter].. .
.
Pia ina tabia ya kufa ignition coil, hii ni wear and tear [kuchoka] ya kawaida tu, ikitokea fanya replacement mapema Ukizipuuzia zita tabia ya kuua na zingine ambazo ni nzima..
.
View attachment 2443978View attachment 2443980

.
Utakua umejiuliza igntion coil ni nini, kwa lugha nyepesi ni coil zinazo badilisha umeme wa battery kwenda kwenye high voltage [current]. Then unaenda kwa plugs kutoa cheche gari ichome mafuta inavyotakiwa.
.
Matege ni kawaida as nyuma kuna kitu kinaitwa camber kikichoka ndo matege yanakuja So ukiona tege limezidi peleka gari kwa fundi tu aki service miguu basi tege linarudi vizuri as intended Though binafsi tege likiwa jipya huwa nalipenda gari inakua kama imeatamia barabara.
.
View attachment 2443982View attachment 2443983
.
Kuhusu Parts na maintenance hilo sio swala la kuwaza, Toyota Tena Rav 4 vipuri vipo vya kumwaga tu, hata body parts zinapatikana + hii gari ina electric power steering (EPS) system sasa kwenye mashimo au rough road kuwa smart pita taratibu acha kufukia mashimo hizi Steering za umeme rough road huwa inazipunguzia maisha sana, zenyewe zinapenda lami.. .
.
Gari ina matoleo/model ranges, kuna X, G na Sport yani hapa waliachana Rav4 L na Rav 4 J, Rav 4 X ni base model ikiwa na 17-Inch steel rims, 2WD/4WD, rear mounted spare wheel, CD/Radio Player bila LCD, plain steering wheel, unawasha kwa funguo na haina fog lights. .
.
Rav4 Style hii ni Luxury Package ikija na alloy rims za inch 17, 2WD/4WD, internal mounted spare wheel Infotainment ina Navigation, multi function steering wheel, pus to start, fog lights na Bluetooth..
.
Mwisho ni Rav 4 Sport Package hii inakuaja na Alloy rims za inches 18, 4WD, rear mounted spare wheel.. . Infotainment ina navigation, multi function steering wheel, push start, fog lights na Bluetooth connectivity.. . So hapa ni kuangalia kinachokupendeza then unafanya maamuzi..
.
View attachment 2443987View attachment 2443988
.
Katika hizi Trims/model nakushauri chukua Luxury package au sport package hizo ndo zenye utamu zaidi, Ground clearance ipo ya kutosha ni inches 7.5 ambayo inafaa kabisa kwa off road driving, Hata gari iko na mzigo wa kutosha inakua safi tu, Hii ground clearance ni nzuri..
.
Nikukumbushe hii gari sio pure off roaders lakini inafanya vizuri sana kwenye njia mbovu hasa ukiwa na 4WD, Inshort naweza sema hii gari ni one of the very reliable car from Toyota ikikupa comfortability, reliability na imetulia + unaenjoy kuiendesha...
.
Kwenye mafuta ukiCompare na 4WD wenzake kama kina Harrier 4WD inafanya vizuri sana, Kama una njia za mchanga, utelezi, vilima vikali etc 4WD ni option nzuri na itakufaa, Ila kama uko town barabara nzuri tumia tu 2WD iko poa sana Mzee.. .
.
View attachment 2443997View attachment 2443998
.
Hii gari ukiitunza [service] vizuri tofauti na tyres filters, battery, brake pads, shocks, hautagusa kitu kikubwa [major parts replacement]. Hata vitu kama shocks, bushes nk unaweza tembea km za kutosha tu ndo vikaisha [hasa genuine parts ]. Gari tukikuletea toka Japan mpaka inafika sebleni kwako gharama ni 29-35++ ...
.
Bei inaweza panda au shuka kutokana na mwaka + condition ya gari, freight charges na fluctuation ya $, etc.. . Kama unahitaji kuagiza gari Japan , karibu tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand ete dealers wanaotupa gari nzuri na kwa bei nzuri..
.
View attachment 2444000View attachment 2444001View attachment 2444002View attachment 2444003
.
Mwezi December Japan kuna massive clearance sale so tuko na discount nzuri tunazopoewa kama dealers, na hizi discount ni kwa ajili yako, Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa salama, unaojali muda wako na usalama wa pesa yako ukikupa chombo salama..
.
Simply bofya link kwenye Bio njoo WhatsApp/ofisini Posta Mpya Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
.View attachment 2444004View attachment 2444005View attachment 2444006View attachment 2444007
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo, Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare kwa ajili ya wengine na Kama hujatu follow katika kurasa zetu za jamii tu follow chap [IG, Twitter, FB @samatimemagari ] ili next time usipitwe na madini..
.
Asante
Samatime
0714547598
Kwenye hizo screenshot , at last ulimaanisha nini
 
Back
Top Bottom