nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Temeke

    Habari, guest/ lodge gani nzuri ambayo ipo karibu na stand ya mabasi ya Temeke? Iwe na kipupwe isizidi buku 40
  2. M

    JamiiForums Tanzania Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

    Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
  3. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

    Habari Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 inayo chana mawimbi ya music vizuri +strong base maana kifaa changu kina feature ya DTS sound...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  5. KJ07

    JamiiForums Tanzania Shule gani ya advance ni nzuri kwa mikoa hii?

    Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school. Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
  6. Brightson7

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu nzuri kwa 250k

    Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakukubali wewe binafsi ila CCM hapana. Utaondoka na roho yako nzuri ya upendo ila CCM katili inaweza kubaki au kurudi tena!

    Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena. Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  9. Rabonn

    JamiiForums Tanzania Siku nzuri inavyokwenda, we mwenyewe utaipenda.Kwako kunapoungua kwa mwenzako kunateketea

    Habari gani wadau. Poleni na majukumu, ndio maisha yalivyo kikubwa uhai. Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza nimshukuru sana Mwenyezi Mungu, sifa na utukufu vimrudie yeye maana kui controll hii dunia na mipangilio yake ni kazi mnoo..imagine wewe unavyolia mwingine huko anacheka... na kuna...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bright and Genius Editors wanatafuta mtaalam wa ku-design website nzuri

    Kwenu marafiki; Bright and Genius Editors wanatafuta mtaalam wa kudesign website nzuri. Kama wewe ni mtaalam wa kudesign website tafadhari tu PM.
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu. Pamoja na kuwapo na wageni...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  14. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

    Habari Hawa mabwana wapika kande leo wamezindua biriani la ngamia ni hatari na nusu alafu kwa nusu bei great job kwao
  15. Berlin storm

    JamiiForums Tanzania Njian nzuri ni ipi?

    Jaman Bado nateseka Hali yangu inazid kuwa mbaya juzi nimetokewa na malenge lenge kat ya mapaja na chini ya korodan panazidi kuwa peusiii mno Kila nikipak detoll panakauka na mangoz yanabanduka na maumiv makal mno nikitembea ni kama nachwanwa korodan msaada jaman😭😭😭😭
  16. G

    JamiiForums Tanzania Sehemu ipi nzuri kushiriki na online slots?

    Kuna michezo ya casino hii kama online slots na live casino inakuja kwa kasi sana sikuizi watu wanaopoa pesa nyingi sana huku. Kuna site zipi nzuri ambazo zinafaa sana kushiriki na michezo kama hii na je ni michezo ipi hasa mfano slots zipi ni nzuri?
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuchambua na kutambua nyimbo nzuri za chekechea

    Wimbo wangu bora wa nursery ni POP GOES THE WEASEL. Wako ni upi? Kama ulisomea kayumba huu uzi haukuhusu!
  18. K

    JamiiForums Tanzania Logde nzuri maeneo ya Moshono Arusha

    Wakuu naomba mniambie Logde nzuri maeneo ya Moshono Arusha..au yoyote ya karibu na maeneo haya. Bajeti yangu 30k-40k
  19. aka2030

    JamiiForums Tanzania Zuwena nyimbo nzuri japo amesample

    Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi nzuri na amezungukwa na watu wema. Orodha yao hii hapa

    Waswahili hawakukosea waliposema " nioneshe rafiki yako nikwambie tabia zako" Sote tunakubali mpaka sasa( hatujui hapo baadae) Mh Rais Samia( PhD honorius causas) Ni rais wa pekee sana. Ni wa pekee kwa sababu ndio Rais ambaye ameweza kwa uwazi kukemea mambo maovu yaliyokuwa yakitendeka hapo...
Back
Top Bottom