nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  3. Matope

    JamiiForums Tanzania Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

    Wakuu, Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa Asante.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ana sifa nzuri au mbaya katika uongozi wake?

    Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi. Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler). Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua. Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama...
  6. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa. Ndugu...
  7. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji collection nzuri ya muziki kwa ajili ya bar/pub/ofisini/kwenye gari? Nipo hapa Dar

    Je una bar/pub/hotel/au ofisi yeyote inayohitaji muziki? na hauna deejay? Au unahitaji collection kwa ajili ya kusikiliza katika gari au gheto. Basi nipo tayari kukutengenezea collection nzuri ya muziki kwenye flash disk au cd na ukaiweka kwenye ofisi yako na muziki ukaendelea kama vile upo na...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  10. C

    JamiiForums Tanzania BASI NZURI ZA DAR - MOSHI

    Happy Sunday🖐🥰 Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto. T. I. A🙏
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  12. Gan star

    JamiiForums Tanzania Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
  13. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

    Wakuu, habarini za Jioni humu ndani. Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa. Kukiwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  15. Saidama

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

    'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ipi course nzuri kati ya diploma ya pharmacy na bachela ya land management and evalution

    Za jioni wadau Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu. Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
  17. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ipi Hospitali nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua

    Habari wadau. Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua. CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale. Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hotel nzuri iliyoko karibu na UDOM

    Wakuu nitakuwa na safari ya kwenda Dodoma, naomba wanajua maeneo hayo au kama uliwahi kufikia maeneo ya UDOM wa nisaidie majina ya hotel na ukijua bei zao utakuwa imenisaidia sana.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na wewe Jumapili yako ya tarehe 16/10/2022 ilikuwa nzuri kama yangu?

    1. Tanzania Simba SC yangu imeshinda na kuvuka (kufuzu) Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL). 2. Uingereza timu yangu pendwa ya Liverpool FC imemfunga mpinzani mpya Manchester City. 3. Sudan timu inayonivutia ya Al Hilal FC imeweza kuifunga klabu ninayoichukia kuliko hata ninavyomchukia...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
Back
Top Bottom