Waziri Mkuu Majaliwa anafanya kazi nzuri sana. Sasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanyaga kazi gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,224
12,729
Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.

Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?

Mi najiuliza hao TAKUKURU hawawezi kufanya kazi ya uchunguzi bila kupewa order na wanasiasa wa CCM?
 
Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.

Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna madudu hivyo yanaendelea kwenye maeneo yao ya kazi?

Serikali ya Rais Samia Suluhu imekua ya moto kweli kweli kwa waliozoea upigaji pole yao
 
Ntaamini mpaka wapelekwe mahakamani na kufungwa,
Lakini eti Takukuru ondoka nae huyo mi naona kama maigizo tu

Kila kukicha PM anawakuta waliohamishwa kwa wizi sehemu fulani na kupelekwa kwingine na anawaambia kabisa

Wewe ulikuwa huko na makosa 16 na umeletwa huku bado unaendeleza yaleyale seriously?
 
Vyeo vya ukuu wa wilaya havitegemei taaluma au weledi wa mtu. Wateuliwa kiuchawa chawa tu. Hivyo maDC anashindwa kufanya chochote kwa wabadhirifu kwasabb hao hao ndiyo waliowapa connection ya uDC.

Au waweza kukuta kampuni inayojenga ni ya Samia, Mpango, Tulia, CDF, Waziri, n.k. Huyo DC unategemea atafanya nn ktk hali Kama hiyo?

Hata huyo PM anafoka foka tu mbele ya kamera lkn mwisho wa siku waliovurunda mradi hawafanywi kitu. Sana sana anaweza kumwangushia mnyonge yeoyote (DED, DC) zigo lkn mafisadi yakadunda tu.
 
Back
Top Bottom