Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,781
- 16,217
Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
HayaNuzie kwa installment. Kila siku nakupa aftatu😜
Leo mchana nikiwa mitaa ya uzunguni Arusha nimepishana na huyu mnyama na kwa sababu ya mahaba mazito ilibidi niwashe full lights Kama salamu kwa dereva ambaye hata simfahamu kwa kweli kwenye hesabu yangu mwakani itabidi nifanye yangu... Toyota crown 🔥🔥🔥Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
View attachment 2436502View attachment 2436503View attachment 2436504View attachment 2436505
Njoo pmKula 7m chapu