Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass.

Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard.

Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua wana kitimoto kizuri yaan ukiondoka hapo unachukua na namba za simu tujulishane hapa, bei si tatizo wengine kutoka nao mpaka pasaka wacha watumie.

Ahsanteni, nawatakia sikukuu njema ya mafanikio.
 
Angalizo
Kama unanijua na unanidai usinikaribie sikukukuu silipagi madeni tukutane tat 28, kua wengine wakiona post hizi wanajua mda wa malipo kou
 
Mkuu nenda Full dose bar pale Mabibo Jirani na TGNP utakutana na mtaalamu bwana Tairo.Utanishukuru.
 
Tips mikocheni wana kitimoto nzuri

Spurs posta wana kitimoto nzuri

Juliana mbezi wana kitimoto nzuri

Rafiki bar iko pale sijui wapi , ila opposite na njia ya meditrano, ukitokea kawe/mikocheni
 
Tips mikocheni wana kitimoto nzuri

Spurs posta wana kitimoto nzuri

Juliana mbezi wana kitimoto nzuri

Rafiki bar iko pale sijui wapi , ila opposite na njia ya meditrano, ukitokea kawe/mikocheni
Hizzi nishapitaga mkuu kasoro hio.mikocheni ngoja tuiangalie..ntaanza na mabibo kwanza .26 niende mikochen.27..tutoke nke kdogo mbezi 28 uwanja wa nyumban juliana
Mungu atupe uhaiii
 
Tips mikocheni wana kitimoto nzuri

Spurs posta wana kitimoto nzuri

Juliana mbezi wana kitimoto nzuri

Rafiki bar iko pale sijui wapi , ila opposite na njia ya meditrano, ukitokea kawe/mikocheni

Sehemu hizo zote wanauza kwa potion au kuanzia nusu. Budget iwe kuanzia 15,000
 
Jan mpaka dec mpwa nilijpanga shemeji yenu aongeze weiiiitiiii kdogoo tuna tour ya 26-30 ama 31 kma ipo n mwendoa ktmoto2
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom