nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mazda Verisa, Vitz au Ist ipi ni gari nzuri kati ya hizo?

    1. Matatizo ya Mazida Verisa. 2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana 3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
  2. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Pendekezo TV nzuri LG/Samsung inch 65 kwa 1.5-1.7M

    Habarini wakuu. Naombeni pendekezo la TV nzuri ( specification na model)nayoweza kupata kwa bajeti hiyo hapo. Vigezo ni ubora wa picha na smart features. Chief-Mkwawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kukopa kati ya Absa, NBC, NMB, na CRDB?

    ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa nimemaliza deni nadaiwa na bodi tu ya mikopo, nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu. Nipeni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia nzuri sana

    Habarin wadau Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

    Maana tumbo linauma sana nateseka
  6. PAMILA

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge nzuri Musoma

    Wanajukwaa naomba msaada wa Lodges nzuri za bajeti ya kati 25 to 30.
  7. Siwamilele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji location nzuri yenye mzunguko kwa biashara ya stationary

    Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku. Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri? Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa. Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
  8. emmarki

    JamiiForums Tanzania Brand gani ya Petrol Generator nzuri

    Nataka kununua generator la 3.5 kva kwa ajili ya kuendeshea stationary, tanesco wamegeuka mwiba huku kijijini. Ni brand gani yenye generator bora zinazotumia petrol, naomba kupata vidokezo juu ya bei zinacheza around ngapi.
  9. emmarki

    JamiiForums Tanzania Kemikali gani huyafanya maji yawe na ladha nzuri kama yanayouza kwenye chupa?

    Habari, Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi Afiya...nk. Naomba kufahamu upatikanaji wake, bei, muuzaji.
  10. male issa yahaya

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
  11. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Hospitali ipi nzuri ya mama mjazito kujifungulia kwa Arusha?

    Hospitali gani nzuri kwa mama mjamzito kujifungulia kwa mkoa wa Arusha?
  12. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

    Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari Kama kijana...
  13. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
  14. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  18. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Hasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo. SILAHA ZANGU 1. FIRIMBI firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga. 2. MANATI Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa simu nzuri za kiswaswadu

    Wakuu humu ndani kwema. Naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anafahamu simu nzuri ya kiswaswadu yenye uwezo wa kukaa laini tatu.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara ipi nzuri kwa mtaji mdogo?

    Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri". Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
Back
Top Bottom