nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Jibu kwa Tundu Lissu: Njia nzuri ya kuzuia uchaguzi ni kuruhusu uchaguzi ufanyike

    Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia. Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kozi gani nzuri kwa kombi ya HGK?

    Wakuu habari, Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa. Mbarikiwe.
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu za Tecno, Infinix, Itel, n.k ni nzuri kwa bajeti lakini zinatumia soc zilizopitwa na muda, Ni sawa na kununua gazeti jioni,

    Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu. Yani wao wanachofanya ni kusomba Soc za zamani zilizopitwa na muda ambazo huwa zimepungua bei, Tatizo sio soc za...
  4. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
  5. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

    Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%. Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
  6. luangalila

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

    Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Utajiri wako na hali nzuri ya maisha unayojisifu nayo si lolote kama jamii inayokuhusu ni masikini na fukara

    Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania English Medium iliyo karibu na Chanika

    Mpangaji wangu amepanga kwangu Chanika anatafuta shule nzuri ya English Medium iliyopo karibu na Chanika. Au inayo weza kufikika kwa urahisi kutoka Chanika. Inaweza kuwa Mvuti, Chamazi, Segerea, Ukonga, Gomz etc. Ada kuanzia laki tisa hadi milioni moja na laki 2 kwa mwaka. iwe na watoto wengi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Research design ipi ni nzuri kutumia kwa title ya pandemic outbreak kama COVID-19?

    Wakuu habari za weekend, Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja? Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa...
  11. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Je, MacBook m1 air 8/512 ni nzuri kwa software development?

    Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
  12. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Relay ya Dr. Samia ni nzuri sana bigup, lakini...

    MAMA' unakimbiza mpaka basi, kwa sisi watazamaji tuoangalia mwendo wako tunaamini ushindi upo, mwalimu wako alikufunza vema, usisahau kuchungulia saa yako ili ujue pa kuongeza na pa kupunguza, lakini katika mbio hizo shikilia kijiti chako sawa sawa, usije ukafika karibu na mwisho kijiti...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    "Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya nyele sehemu za siri kwa wanawake na wanaume?

    Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida? Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani). Ninavyofahamu unasomeshwa na ndipo unakuwa mbobezi. Haya wenye elimu tupeni ushuhuda iliyonyolewa au iliyokuwa na...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Dhamira ya Inonga haikuwa nzuri

    Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana. Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama...
  19. Beberu

    JamiiForums Tanzania Azam Cola ni nzuri kuliko coca cola, nini kimewakuta coca cola

    ...........(salamu) Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an, Anyway may be ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

    Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona. Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana...
Back
Top Bottom