Je MacBook m1 air 8/512 ni nzuri kwa software development?

Next Elon Musk

Senior Member
Dec 2, 2019
111
80
Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
 
From personal experience is not about the laptop, is about OS unayotumia
Kama uta develop Ios based apps nenda na mac ,lakin kama unafanya multiplatform nenda na windows but laptop iwe powerful
 
Ios tho for the starting point is 8 ram enough?
 
Software development kwenye mac acha mwembe za USA, Nunua HP au DELL install kali anza kupiga kazi
 
M1 chip ni powerful sana. Mimi natumia ile base version ya 2020 8GB ram, 256ssd. Asee nafanya web na app development, 3D, 4K video editing, graphics etc na haijawahi niangusha.

Na software development asikuambie mtu ukifanya kwa mac unaenjoy sana especially kama utakuwa ni mtu wa kumove, yaani hukai sehem moja na hauna multiple monitors
 
Wow basi kama hivyo nadhani air yenye 8/512 ni sawa kabisa
 
From personal experience is not about the laptop, is about OS unayotumia
Kama uta develop Ios based apps nenda na mac ,lakin kama unafanya multiplatform nenda na windows but laptop iwe powerful
If your good in developing codes tumia linux platform na hasa ubuntu alternative tumia fedora desktop hata km unatumia pentium 3 haiwi nzito kamwe ila haya mengine msala, only Mac can win in terms of hardware. you can install containers humo na ukawa unahama na usb tu from one pc to another
 
Mac intern of hardware but software wise si rafiki kwa nchi zetu hizi za kiafrica.
Linux yes ni platform pana lakin tatizo linarudi pale pale windows support most of software bila complication. With mac os itabid uinstall mods ndio uweze kuitumia
 
For linux nina laptop tayari kwa ajili ya hiyo ika my main one nataka MacBook in terms of creative work and software development
 
Natumia Apple Macbook Pro M1 chip 8GB RAM / 512GB SSD

In my experience, naweza kufungua Jetbrains IDE mbili i.e Android Studio/Intelli J na PHPStorm kwa wakati mmoja.
Nkafungua Android emulator na iOS Simulator kwa wakati mmoja.
Na bado nkafungua Google chrome ikiwa na tabs kama 10 hivi, na baadhi yake zikiwa zina stream Video.

Jetbrains IDE ni nzuri sana kwenye programming ila ziko very expensive/hungry on resource. On average hizi tools zote nilizo simulate hapo juu zinaweza tumia 8GB RAM yote, ila sijawai kuona lagging, fan kuunguruma au PC kuchemka hata siku moja.

Nimejaribu ku simulate kuwa ukiwa mwanafunzi wa C/S kuna moment utajikuta katika scenario ambako una code Frontend/Mobile application kwa Flutter(utaitaji kutumia Android studio, android emulator, iOS simulator) na wakati huo huo frontend yako ikawa ina communicate na backend yako iliyoandikwa e.g kwa PHP hivo kukuitaji kufungua IDE nyingine na wakati huo huo ukawa unaitaji kufungua Browser/G.Chrome ku browse resources/documentations mtandaoni.

Katika scenario hiyo ndo utaona M1 Chip pc zilivo moto wa kuotea mbali.

Mm nimetumia PC za windows tena high end, nkatumia PC za apple Intel Chipset, naweza kukupa testimony kuwa sijawai kuona perfomance na experience iliyoweza kuifikia computer ya M1 chip.

Hivo nakushauri chukua M1 chip computer, tena ukiweza upgrade kidogo uende Macbook pro, you will never regret and mind you, hauwezi pata PC inakaa charge takribani masaa 24 nje na hizo nilizotaja au superiors zake.

Kazi kwako.
 
Bei Ina range TSH ngapi mkuu
 
Asante sana kaka nime nunua m1 air 8/512 nikipata ela nitajipanga ku upgrade kwenda pro
Pia naomba mawasiliano yako kama hutojali au kwa PM
 
Back
Top Bottom