Mazda Verisa, Vitz au Ist ipi ni gari nzuri kati ya hizo?

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
174
343
1. Matatizo ya Mazida Verisa.

2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana

3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.

f.jpg

Zote ni Baby Walker, Uimara hutegemea na matunzo yako, Ukitaka usinyooshewe vidole na watu chukua Verisa ila kama uko mikoani spear zitakusumbua. Kadiri unavyo liinua juu ndiyo unaongeza uwezekano wa kupata ajali ya kupinduka. Kila la kheri.
Speq zipi za kusumbua? Kwani Dar ni mbali hapo Kuagiza? Harafu msikariri ,karibu Kila kitu kinachopatikana Dar kipo kwenye Miji mikubwa ya Mwanza,Arusha,Dom,Mbeya nk
 
Nachingwea na Dar Kuna umbali gani sasa
Kwahiyo akipata hitilafu anapaki sio? Ukweli ni kwamba mikoa mingi ya Tanzania ina changamoto kubwa kwenye upatikanaji wa spare parts hasa kwenye magari ambayo si common sana, hivyo kama yuko mikoani huko na endapo hilo ni gari lakwanza avute tu IST. Ila kama yuko Dar achukue Verisa.
 
Ndio unapaki
 
Back
Top Bottom