Research design ipi ni nzuri kutumia kwa title ya pandemic outbreak kama COVID-19?

mendez-digala

Member
Sep 13, 2022
23
48
Wakuu habari za weekend,
Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja?
Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa related,
Nitangulize shukran zangu kwa wote🙏🙏🙏
 
Mimi si mtaalam wa haya mambo, ili wakujibu ni lazima wajue swali lako la utafiti ni lipi.
 
Back
Top Bottom