Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kiume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.
Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.
Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...
Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!