The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni.
Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
“Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.”
Sigmund Freud
”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu”
Sigmund Freud
Wakati tunaendelea na...
Ripoti ya Deaf Women Included iliyochapishwa 2021 ilifanya utafiti na kugundua, Asilimia kubwa ya watoto wanaopatwa na changamoto ya uziwi mara nyingi huwa wahanga wa ukatili katika jamii kwa sababu wanaoamua kuwafanyia ukatili hujua hawawezi kusema.
Inahitaji ufuatiliaji wa karibu kufahamu...
Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali,
Nimekaa nikatafakari sana nikaona bora nilete huku jambo langu hili ili nipate mawazo mapya.
Nimekuwa...
Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.
Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa...
Mpaka unaamua kumkaribisha nyumbani first dinner mpenzi wako ni lazima umemuamini na kuna vitu vimekuvutia kwake. Hii ni nafasi yako ya kujionyesha kwake uhalisia wako.
1. Nyumba iwe kwenye mpangilio mzuri. Hata kama unaishi kwenye chumba kimoja, tandika kitanda na uandae sehemu za kukaa...
Haya ni maneno aliyoyatamka Linda, binti wa pekee kwa wazazi wake. Baba yake alikua mlinzi wa majengo ya serikali kwa miaka mingi. Mama yake alikua mama wa nyumbani aliyejishughulisha na biashara ya vitafunio vya asubuhi kama chapati, maandazi, sambusa na vitumbua.
Linda na wazazi wake...
Habarini wadau wana JF
Je, kunaulazima wa kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako? Maana inakuwa kama umemnunua vile ninavyoona maana muda wa kuondoka wanakodoa macho kweli.
Mbona wanaume wakienda kwa wapenzi wao wa kike hamtupi nauli? Au ndo mwanaume utakula kwa jasho maana mbinguni...
Waajiriwa wa wadada wakazi. Unamuajiri mtu halafu unamtumikisha kama mnyama
Halafu unakuta mtoto wawatu anafanya kazi kwa moyo akikosea kitu unamuadhibu kama paka mwizi bado anavumilia .
Wanaume ukiwaona kweli hudhanii ni waaribifu wawatoto wawatu.
Mtu yupo na wadhifa anasifika kila idara ila...
Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi.
Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever"
Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la Katiba Mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilitarajiwa kufanyika leo.
Kuna zaidi ya askari polisi 200.
Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni.
Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia.
Marehemu...
Tunakumbushana tu wadau, ni hivi:
Kama ukipotelewa na funguo wa mlango nyumba yako, ofisi yako au ofisi ya umma au sehemu inayofunguliwa kwa ufunguo!
Huruhusiwi kuvunja hilo komeo/kitasa bila kutoa taarifa polisi! (Loss report) ni utaratibu wa kawaida kabisa wadau nawakumbusha!
Pili; Hata...
Habari wanajamii?
Poleni na majukumu ya week nzima!
Niende moja kwa moja kwenye uzi husika, mwaka 2013 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae familia yao ilikua karibu sana na familia yetu.
Tulidumu kwenye mahusiano kwa muda kidogo mpaka 2017 ambapo tuliamua kuachana, sababu kubwa ikiwa yeye...
Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa
========
The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly...
Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.