Unawezaje kutengeneza divai ya zabibu nyumbani?

sijui huwa napatia isiwe ikawa natengeneza juisi nikahisi ndio divai
nanunua zabibu
naziosha vizuri sana
nazisaga vile vile na maganda yake
maji na weka kiasi kidogo sana yaan sana ili zisagike na brenda
baada ya hapo sasa nazikamua kwa chujio la chai ila lile kubwa
huwa siweki sukari napenda vile chachu naweka kwenye friji
ikiwa ya baridi sana naweka kwenye gras ya Mwanamke nyonga naweka MOVIE naenjoy maisha yaan kama mbele
 
-kamua zabubu
-chuja vizuri
-ongeza maji kidogo /au miwa
-weka hamira nusu kijiko cha chai
-ifunike/ifungie kwenye chombo cha mbao ili kupata kitu bora
-iache humo miezi mwaka miaka juu yako
-Inapozidi kukaa ndio unapopata mvinyo bora zaidi.
Brew expert.
Kipimo cha nvinyo lita 2.
 
Tena mwambie atumie maji ya kuchemsha asitumie maji yenye madini

Ova
 
-kamua zabubu
-chuja vizuri
-ongeza maji kidogo /au miwa
-weka hamira nusu kijiko cha chai
-ifunike/ifungie kwenye chombo cha mbao ili kupata kitu bora
-iache humo miezi mwaka miaka juu yako
-Inapozidi kukaa ndio unapopata mvinyo bora zaidi.
Brew expert.
Kipimo cha nvinyo lita 2.
Tumesahau na sukari mzee

Ova
 
sijui huwa napatia isiwe ikawa natengeneza juisi nikahisi ndio divai
nanunua zabibu
naziosha vizuri sana
nazisaga vile vile na maganda yake
maji na weka kiasi kidogo sana yaan sana ili zisagike na brenda
baada ya hapo sasa nazikamua kwa chujio la chai ila lile kubwa
huwa siweki sukari napenda vile chachu naweka kwenye friji
ikiwa ya baridi sana naweka kwenye gras ya Mwanamke nyonga naweka MOVIE naenjoy maisha yaan kama mbele
Hiyo ni juisi mkuu😀😀 lakini inaonekana unaenjoy sana.
 
sijui huwa napatia isiwe ikawa natengeneza juisi nikahisi ndio divai
nanunua zabibu
naziosha vizuri sana
nazisaga vile vile na maganda yake
maji na weka kiasi kidogo sana yaan sana ili zisagike na brenda
baada ya hapo sasa nazikamua kwa chujio la chai ila lile kubwa
huwa siweki sukari napenda vile chachu naweka kwenye friji
ikiwa ya baridi sana naweka kwenye gras ya Mwanamke nyonga naweka MOVIE naenjoy maisha yaan kama mbele
Hiyo Ni Juice Mkuu
HHuwezi Kupata Kitu Tunachotaka Kwenye Sweet Red Wine
Half Heaven, Yaani Unaelea Duniani Haupo Mbinguni Huonekani
 
20220329_164308.jpg
Hii Nakunywa Sana
 
sijui huwa napatia isiwe ikawa natengeneza juisi nikahisi ndio divai
nanunua zabibu
naziosha vizuri sana
nazisaga vile vile na maganda yake
maji na weka kiasi kidogo sana yaan sana ili zisagike na brenda
baada ya hapo sasa nazikamua kwa chujio la chai ila lile kubwa
huwa siweki sukari napenda vile chachu naweka kwenye friji
ikiwa ya baridi sana naweka kwenye gras ya Mwanamke nyonga naweka MOVIE naenjoy maisha yaan kama mbele
Hiyo ni juis
Sio wine
Wine lazima ifanye fermentation kuanzia sku saba
Wine unaweza ivundika hata miaka kumi haiozi ukifunua hapo mtu yupo kilometer tano anasikia harufu yake

Wine nzur njoo Bihawana na mihuji kwa masister

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom