Mke ameleta dada wa kazi nyumbani pasipo kumshirikisha mume

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,078
Kisa kiko hivi

Mshikaji wangu kaniomba ushauri wa mawazo,kanihadithia issue nzima ilivyo,ila point ya msingi ni kwamba mkewe ameleta housegal nyumbani pasipo kumshirikisha, anasema hapafahamu kwao na huyo binti wala wazazi wake, na pia yeye jamaa hana budget ya kulipa msichana wa kazi kwa sasa kwani mambo yake hayako vizuri,hivyo anashangaa kuletewa mgeni ndani kwake asiyemtambua.

Maamuzi yake yalikua ni kumchapa makofi mkewe na amtimue huyo binti arudi kwao.

Ila mimi nimemtuliza nimemwambia yeye ajifanye mjinga kama hajui lolote linaloendelea aone mwisho wa mwezi kama ataombwa mshahara wa huyo binti ama vipi,hapo ndio afungue mdomo wake sasa.

Nyie wakuu mna ushauri gani kwenye hili suala?
 
Very simple. Kuanzia leo akirudi nyumbani ni mwendo wa kuzunguka na boxer tu. Akihitaji chochote amuite dada wa kazi hata kama mkewe yupo. Ahakikishe anamwaga sifa za kutosha za housegirl juu ya uzuri na uchapakazi wake kwa mkewe. Kama alivyokuja bila kutaarifiwa basi hakika ataondoshwa pasi kujulishwa akifanya hayo.
 
Very simple. Kuanzia leo akirudi nyumbani ni mwendo wa kuzunguka na boxer tu. Akihitaji chochote amuite dada wa kazi hata kama mkewe yupo.
Ahakikishe anamwaga sifa za kutosha kwa housegirl juu ya uzuri na uchapakazi wake kwa mkewe.
Kama alivyokuja bila kutaarifiwa basi hakika ataondoshwa pasi kujulishwa akifanya hayo.
Nimekusoma mkuu
 
Karibu JF mtandao ambao mtu huleta tatizo lake binafsi kwa kupitia mshikaji/jamaa yake

Yaani hapa JF watu wote wamesoma vyuo vikuu, hapa JF kila mmoja ana gari, hapa JF kila member ashatembea nchi nyingi, hapa JF watu wote hawana matatizo lakini wanawaombea ushauri ndugu au rafiki zao, hapa JF ndio sehemu pekee kila member ni mchambuzi wa soka hadi siasa. Jamii ya JF wamejitosheleza kila kitu
 
Yaan unakuwa na new face ndani ya nyumba alafu huulizi?! Hapo wf kakuona bwege
 
Very simple. Kuanzia leo akirudi nyumbani ni mwendo wa kuzunguka na boxer tu. Akihitaji chochote amuite dada wa kazi hata kama mkewe yupo.
Ahakikishe anamwaga sifa za kutosha za housegirl juu ya uzuri na uchapakazi wake kwa mkewe.
Kama alivyokuja bila kutaarifiwa basi hakika ataondoshwa pasi kujulishwa akifanya hayo.
Nakazia.
 
Yaani hapa JF watu wote wamesoma vyuo vikuu, hapa JF kila mmoja ana gari, hapa JF kila member ashatembea nchi nyingi, hapa JF watu wote hawana matatizo lakini wanawaombea ushauri ndugu au rafiki zao, hapa JF ndio sehemu pekee kila member ni mchambuzi wa soka hadi siasa. Jamii ya JF wamejitosheleza kila kitu
Hiki ndio kitu kinachoufanya mtandao wa JF kuwa special
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom