nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lilivyo Kundi D kwa sasa katika CAFCL ndiyo hao hao Wawili wa Juu watakaofuzu na Wengine watafuzu tu Kushinda Tano Tano za Rushwa Ligi yao ya Nyumbani

    Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita /...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

    Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC...
  3. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ihefu yauchagua kutumia uwanja wa CCM Liti wa Singida kwa mechi zao za nyumbani

    RASMI Ihefu SC imehamia mkoani Singida baada ya kuuchagua uwanja wa CCM Liti kama uwanja wao wa nyumbani kwa msimu mzima. Leo watendaji wote wa timu za ligi kuu wametumiwa taarifa rasmi ya kuwa michezo yote ya nyumbani ya Ihefu SC itachezwa CCM Liti, Singida. Nini kimejificha kwenye sakata la...
  4. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Jioni moja nyumbani tulipokutana na nguvu za giza

    Yani ikabidi tuweke kambi nje maana ndani hakukaliki. Hakuna kilichoharibika maana pilau iliondoa sonona
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

    Hali ni tete, joto kali umeme hakuna, Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO 1. Taa 2. Feni tatu na AC 1, 3. Fridge 4. TV mbili 5. Computer mbili za desktop 6. Oven ila haitumik mara nyingi Yaweza ni cost kiasi gani?
  7. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

    I hope mko vyema Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani LEMONADE MOCKTAIL mahitaji: Glass 1 Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako Ndimu/limao 1 Majani ya mnanaa(mint) Sukari kijiko kimoja sio...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Alizamia South Africa toka mwaka 1998, amerukwa na akili, sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania

    Mtanzania Anaitwa KARIM HUSSEIN LIMO Huyo Aliesimama Katikati Amezaliwa 1968 Elimu Amepata Shule Ya Msingi Maweni Baba Yake Anaitwa HUSSEIN ABEID LIMO Mama Yake Anaitwa MARIAM MASHIRIMA Kwao Ni Himo, Moshi Aliondoka Tanzania Kuelekea South Africa 1998 Miaka Yoote Hakuwahi Kurudi Tanzania Wala...
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salamu zikufikie Mrisho Ngassa, Feitoto hawezi kurushiwa majini kwa sababu michezo hiyo yote kule kwao ndio nyumbani kwao

    Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini. Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo. Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
  10. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanajeshi wa UAE waliouawa Somalia yawasili nyumbani

    Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE. Maafisa wa Imarati walisema...
  11. Ivan Stepanov

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

    Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima. Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote...
  12. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  13. Execute

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

    Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu. Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa. Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri...
  16. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi: Je, truck za Kamua na Nyumbani za TMK zilikuwa diss track Kwa Wana East coast

    Kulikuwa na bifu lililotikisa miaka ya mwanzoni ya 2000 kati ya TMK na east coast, kipindi hiko watoto wengi wa 2000 ndo walikuwa wakitungwa so hawajui lolote. Gk kupitia truck yake kali ya hii Leo alitoa diss nyingi huku, akidai pesa wanayo, wanavaa vizuri, hapa hipo, wanaendesha magari...
  17. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hai: Mjane wa Lyatonga Mrema aenda CCM, adai amerejea nyumbani

    Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimdhamini au niachane naye?

    Ni mtu ambaye miaka 10 tulikutana katika harakati za utafutaji kazi. Tukapoteana tulionana mjini Dar mwaka jana. Mwaka jana kibarua chake kiliota nyasi. Si unajua sekta binafsi mistake ndogo tu wanapita na wewe. Familia ina hitaji kula, umri umeenda kahangahika kaamua aende kampuni ya Uzinzi...
  20. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

    Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza. 1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu. Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Back
Top Bottom