nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kagoma Kukopwa kama Walivyokopwa wengine na sasa Wanashtaki hivyo ni ama anabakia au anaenda Kwingineko au anamalizia Nyumbani

    Siyo kila Mtu anapenda Kudanganyika na Kukopwa huku Mali Kauli zikiwa nyingi. Kawatoleeni Mbavuni Kudadadeki. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako...
  3. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kusikitisha Kuhusu kujifungulia Nyumbani

    Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye juhudi na upendo mwingi kwa mpenzi wake mjamzito, Ngaremu. Usiku mmoja, Ngaremu alianza kupata uchungu...
  4. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania UNATAMANI UWEKE SOFASET KALI NYUMBANI KWAKO? ONA HII

    Ni mpya kabisa , ina 2 month tu ni fiber & spring 1..5M ukiitaka nicontact: 0697224996
  5. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Elimu kidigitali kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania hasa wanapokuwa nyumbani

    Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa maarifa na ujuzi. Elimu hii inajumuisha matumizi ya zana na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hawli ya Aliyekuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir Imesomwa Nyumbani Kwake Magomeni

    Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia mpigania uhuru na mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU. Sheikh Hassan bin Ameir anakumbukwa kwa kuuza...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Pika popcorn simple kwenye jiko la gesi nyumbani

    Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi. Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500. Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni. Weka mafuta. Pasha mafuta hadi yaive. Yakiiva punguza moto uwe mdogo kabisa na weka popcorn zako ndani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya nyumbani

    Jipatie vyombo vya nyumbani Kwa bei sawa na bure, Jipatie bakuli 6, side plate 6 na sahani kubwa 6, na serving bowl 3 Kwa bei ya 125,000 tuu, Tupo Dar Kariakoo; Tupigie 0744466202
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

    Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jitahidi uwe unaenda haja kubwa mbali na nyumbani

    Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unaenda kufanya haja kubwa sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi...
  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Baada ya matatizo, leo nimerudi nyumbani

    Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima niitege simu sehemu fulani. leo mambo yakawa tofauti, nikakumbuka nina line ya TTCL, nikaweka kwa kweli...
  16. mjenziwakale

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Hospitali ya Mji Korogwe (Magunga) yabainika kuhifadhi Damu kwenye Mafriji ya Nyumbani

    Mwezi mmoja baada ya kubainika jokofu la matumizi ya nyumbani kuhifadhia damu katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, hilo limebainika tena mkoani Tanga. Kwa mujibu wa taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali (Tamisemi), Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa...
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Baba wa nyumbani!

    Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
Back
Top Bottom