Kuna wanaume wanafeli sana, hawala anakula vyakula vya nyota 5 nyumbani wanaishia kuviangalia kwenye TV

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida:

  • Ugali dagaa tembelee,
  • Chai na vitumbua vya mama salma mtaani,
  • Wali maharage nyama,
  • Jumapili ndio ugali kuku,
  • Pilau ni siku za sikukuu.
  • Mke anaambiwa atumie vizuri sukari na mafuta vimepanda bei.

Ila kwa mwajuma miguu pande mkikutana mara 4 au 5 kwa wiki;

  • Kitimoto na chachandu, castle light, nyagi
  • Pizza hut
  • KFC
  • Chips zege kuku mkavu
 
una honga pakubwa, wewe unakula padogo, nyumbani viazi mbatata, dah 🐒
 
Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida:

  • Ugali dagaa tembelee,
  • Chai na vitumbua vya mama salma mtaani,
  • Wali maharage nyama,
  • Jumapili ndio ugali kuku,
  • Pilau ni siku za sikukuu.
  • Mke anaambiwa atumie vizuri sukari na mafuta vimepanda bei.

Ila kwa mwajuma miguu pande mkikutana mara 4 au 5 kwa wiki;

  • Kitimoto na chachandu, castle light, nyagi
  • Pizza hut
  • KFC
  • Chips zege kuku mkavu
hili ni jambo baya
 
Mlioolewa punguzeni vidomo domo, punguzeni kuwa ma-monitor kila mara uko wapi, leo nilikupigia kwa nini hukupokea, mbona unachelewa kutoka kazini wenzio wanawahi kurudi.....
 
Ikiwa mkeo anakuuliza maswali haya halafu ukamjibu,uanaume wako ni wa mashaka
 
Kikawaida Malaya au michipuko huwa wanapewa 1/2 na mama nyumbani 1/3

Mwanaume huwa anatazama MTU anayempa Peace of mind

Hivyo ikiwa malaya au mchipuko anampa peace of mind probability ya yeye kuuyumbisha muunzani ni kubwa Sana.
 
Back
Top Bottom