nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  2. JamiiForums Tanzania Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
  3. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Dalali_wa_ kuuza_ nyumba. NYUMBA_INAUZWA Chanika_Lubakaya _____________________________ NYUMBA INAVYUMBA VINNE VYA KULALA NA CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM _____________________________ # Sebule kubwa # Dining room # Jiko la kisasa # Public toilet # Kisima kipo # Full tiles na gypsum #...
  4. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu ipo Kivule kwa wamakonde 25mil

    Habari, Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko. Aliyepo serious...
  5. JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi mnunuzi anavyoshindwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba

    Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka endapo una fedha tayari za kununulia nyumba unayoitaka. Kwa lugha nyingine, utatumia muda mrefu...
  6. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa

    Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano) BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia mbili na hamsini) maongezi yapo Nyumba(eneo) ipo Madale kwa Mathias kwa mawasiliano nipigie...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo ndani ya miaka miwili (2)

    Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi. Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi. Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
  11. JamiiForums Tanzania Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

    BABA ANATAKA KUNIDHULUMU NYUMBA YANGU. KESI BADO INAENDELEA MAHAKAMANI. Anaandika Robert Heriel. Namheshimu Kama Baba yangu, ni mzazi wangu. Nilikuwa nampenda lakini sasa naona chuki inamea nafsini mwangu. Kisa Mimi mtoto wake ndio anikandamize, anidhulumu Mali yangu. Ananinyang'anya Nyumba...
  12. JamiiForums Tanzania Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  14. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

    NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA. Anaandika, Robert Heriel. Niweke wapi USO wangu! Mambo yote hadharani! Tupu zangu zipo ukweni, Wanazitazama tadhani Filamu ya ngono, Wanayatazama maungo yangu, afadhali yangekuwa maungo ya nje lakini mpaka Uchi...
  15. JamiiForums Tanzania Kama unatumia 'self contained house' jua ya kwamba unamuenzi mtu huyu

    Habari zenu, Kabla ya kuanza naomba niwatahadharishe ya kwamba kama mtu siyo muumini wala siyo kesi simlazimishi kukubaliana na mimi, asijisumbue! Sasa tuendelee... Dini ni mfumo ambao unategemea zaidi masimulizi ya kale. Masimulizi hayo yanahusu watu wema na wabaYa ambapo muumini analazimika...
  16. JamiiForums Tanzania Nyumba za wapiga kura vs nyumba za wapigiwa kura

    Wale wanaoambiwa wasivimbiwe huwa wanafunga na kufungua magate.
  17. JamiiForums Tanzania Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
  18. JamiiForums Tanzania Je naweza kupata nyumba nzuri ya kuishi na yenye uzio (fensi) na geti kwa range ya TSH 35-50 Milioni?

    Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania, sasa nimeona nichange pesa ili niweze kununua nyumba mkoa wa mwanza na kuanza kuishi uko nataka kujua...
  19. JamiiForums Tanzania Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

    Salaam Wakuu, Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada. Nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…