Franchesco1346
Member
- Jul 26, 2022
- 34
- 12
Je kiwanja kina HATI ya WIZARA?
hapana Kina Hati Ya Serikali za Mitaa. Lakini Pia Tunaweza Kuandikishiana Kisheria sisi Wenyewe Tunafatilia Hati Ya Wizara Karibu sana..!Je kiwanja kina HATI ya WIZARA?
Ndio boss wangu kiwanja kimepimwa .Kimepimwa?