Mtaalam Ujenzi: Nyumba ya Bakhresa sio bilioni 30, ikienda sana ni bilioni 5

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,444
25C9E3D5-08BE-4A8C-8F7A-3B08FC0F89E8.jpeg

Nyumba ya Bakhresa
download (3).jpg
download (4).jpg

Nyumba ya 50 cent​
Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei wanaziona mitandaoni na badala yake wawaone wahusika wa ujenzi kwa kupata makadirio sahihi ya ujenzi.

Akitolea mfano nyumba iliyozagaa mitandaoni siku chache zilizopita ya mfanyabiashara Bakhresa amesema nyumba hiyo haina thamani iliyotajwa ya bilioni 30 na badala yake thamani yake haizidi hata 5, kila kitu kikiwa kimejumlishwa.

" Kwa thamani ya ardhi ya Fumba na ukubwa na aina ya nyumba ya Bakhresa, thamani yake haizidi bilioni 5, hapo nimetumia factors zote za sekta hii, ni makadirio tunafanya kila siku na sio kuwa tunabahatisha, tafuta mtaalamu yoyote yule duniani atakupa figure niliyokupa na totauti yake inaweza kuwa plus or minus 5%" alisema.

ndg Frolian Rweikiza.
Aliendelea kudai "Nyumba yenye vyumba 52, Swimming pool, basketball court, ziwa dogo, ukumbi wa sinema, night club, tennis court, zoo ya wanyama ilyokuwa inamilikiwa na rapa 50 cent ilifanikiwa kuuzwa kwa dola milioni 3.1 pekee mwaka 2019 na ilikuwa ipo Farmington Connecticut sio Fumba town Zanzibar"
Source Ghafla News.
 
Tanzania tunakuza sana vitu... bilioni 30 sio mchezo!
 
Bil 30 ni mchezo nn!? labda kama kiwanja tu kanunua juu ya bil 25 ndio hiyo nyumba ifike bil 30.

Mnadanganywa sana
 
Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei wanaziona mitandaoni na badala yake wawaone wahusika wa ujenzi kwa kupata makadirio sahihi ya ujenzi.

Akitolea mfano nyumba iliyozagaa mitandaoni siku chache zilizopita ya mfanyabiashara Bakhresa amesema nyumba hiyo haina thamani iliyotajwa ya bilioni 30 na badala yake thamani yake haizidi hata 5, kila kitu kikiwa kimejumlishwa.

" Kwa thamani ya ardhi ya Fumba na ukubwa na aina ya nyumba ya Bakhresa, thamani yake haizidi bilioni 5, hapo nimetumia factors zote za sekta hii, ni makadirio tunafanya kila siku na sio kuwa tunabahatisha, tafuta mtaalamu yoyote yule duniani atakupa figure niliyokupa na totauti yake inaweza kuwa plus or minus 5%" alisema.

ndg Frolian Rweikiza.
Aliendelea kudai "Nyumba yenye vyumba 52, Swimming pool, basketball court, ziwa dogo, ukumbi wa sinema, night club, tennis court, zoo ya wanyama ilyokuwa inamilikiwa na rapa 50 cent ilifanikiwa kuuzwa kwa dola milioni 3.1 pekee mwaka 2019 na ilikuwa ipo Farmington Connecticut sio Fumba town Zanzibar"
Source Ghafla News.
Hio nyumba anauza $12 million
Ni zaidi ya billion 24.
Atakaa yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom