nyumba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

    Habari wadau, Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake. Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

    Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Ujenzi wa Mradi wa Nyumba Msomera

    WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  8. JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Njombe mtaa wa Hagafilo

    Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba vyote.karibuni.mawasiliano 0758248358.nb hakuna dalali
  10. JamiiForums Tanzania Mnawezaje ku deal na Jiran wa Namna hii kwenye nyumba za kupanga?

    Hello habari wana jf Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana Yani hii tabiia inani boa sana Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya na Iringa wananchi wamejenga nyumba za kijima

    Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne. Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

    Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado. Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  14. JamiiForums Tanzania Sharti gani gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba kwenye nyumba za kupanga?

    Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
  15. JamiiForums Tanzania Tusaidiane kujua kampuni nzuri za uhakika kwa ajili ya bima za nyumba

    Habari. Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame. Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania TATIZO LA KUVUJA NYUMBA: KAGUA NYUMBA YAKO MWENYEWE

    Kumekuwa na mijadala mingi juu ya nyumba zilizoezekwa kwa mtindo wa kuficha paa la nyumba, ilionekana nyingi zinavuja sana. Mimi mwenyewe nikiwa mhanga wa jambo hilo. Nyumba ilikuwa ikivuja sana kwenye gata utadhani hapajaezekwa. Nikawa najiuliza inakuwaje gata linavuja hivyo? Nikamuita fundi...
  18. JamiiForums Tanzania 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  19. JamiiForums Tanzania Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba. Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo. Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…