nyoka

Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.

View More On Wikipedia.org
  1. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Huku kwetu jitu zima lingekimbia kuliko hata Fuso

    Kwa kukutana na hiki kiumbe mtu mzima anaweza kutoka mpera mpera mpaka na haja kuu juu
  2. hp4510

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

    Habari za jioni, Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana. And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Australia: Wanasayansi wathibitisha Nyoka kuwa na Kisimi

    Wanasayansi wamegundua kuwa Nyoka wana Kisimi, hivyo kuvunja dhana iliyokuwepo kwa muda mrefu kwamba nyoka jike hawakuwa na kiungo hicho cha ngono. Utafiti uliochapishwa leo Desemba 14, 2022 unatoa maelezo ya kwanza sahihi ya kianatomia ya sehemu za siri za nyoka wa kike. Uume wa nyoka -...
  5. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Ijue Nehushtani, nyoka wa shaba aliyeabudiwa na Israeli

    IJUE NEHUSHTANI, NYOKA WA SHABA ALIYEABUDIWA NA ISRAELI. Joka la Shaba alilitengeneza Musa jangwani na kugeuka kuwa mungu wa Israeli. Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Bwana Yesu apewe sifa wapendwa. Ikiwa ni siku njema Bwana ametupa kibali cha kuiona siku hii ya leo, si kwa sababu sisi ni wema...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa bangili ya Kupumbaza nyoka na Jiwe la nyoka

    Nimekuwa nikijiuliza sayansi iliyoko katika lile jiwe ambalo watu hutumia mara waumwapo na Nyoka. Unaliweka sehemu husika na linanyonya sumu mpaka linapodondoka. Ni sayansi gani hapo inayofanya kazi? Wenye uzoefu please. Lakini pia ile bangili ambayo husemekana inampumbaza nyoka. Inafanyaje...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ona Majibu ya fumbo la "Ufanye nini upo mtini kuna nyoka, majini kuna mamba na nchi kavu kuna simba"

    Mwamba amejitahidi kufikiria. Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem". Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine. Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako 1...
  8. mtwa mkulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mfahamu George wajackoyah: Mgombea urais Kenya anayesisimua kwa Bangi na sumu ya Nyoka

    Mgombea George Wajackoyah Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimeua nyoka mkubwa Mikumi

    Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Kama umelala peke yako kitandani ukigalagala kama nyoka pita hapa

    Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa. Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine. Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha kuwa na Partner, lakini kama huna basi tubadilishane mawazo huku JF kidogo.. vibe, hamasa na kutiana...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  12. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

    Ni kwamba kipindi hicho wanyama walikuwa wanaongea au? Kama sivyo, kwanini huyo bibi yetu hakushtuka na kukimbia kwa Adamu kuomba msaada?
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Auawa kwa kuumwa na nyoka anaowafuga nyumbani kwake kwa siri, Polisi wakuta nyoka 124

    Mwanaume mmoja katika maeneo ya Maryland huko Marekani amekutwa amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa akiwafuga. Polisi wamesema kuwa wamekuta mwili wa mwamba huyo ukiwa chini huku kukiwa na nyoka zaidi ya 100 wenye sumu na wasio na sumu katika nyumba yake ambapo mwili ulipopimwa...
  14. Mycle255

    JamiiForums Tanzania Nyoka (The Divine Serpent)

    NANI ATASIMULIA HADITHI YA SHETANI BAADA YA KUSIKIA UPANDE WA MUNGU? SEHEMU YA PILI: Katika sehemu ya kaskazini ya Babilonia, HAWA alijulikana kuwa “Mungu wa Eden” (The Divine Lady of Eden) au “Mungu (wa Kike) wa Mti wa Uzima" (Goddess of the Tree of Life), wakikumbuka ibada ya Kiebrania ya...
  15. Rakims

    JamiiForums Tanzania Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

    Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa, Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa TRA idara ya forodha Rusumo; Mhuri nyeti huachiwa nyoka (kijana)

    Mida ya usiku pale kwenye geti la kutokea Tanzania kuingia Rwanda maafisa wetu wa forodha huwa wanafanya uzembe unaohatarisha usalama wa taifa letu kwa wao kwenda majumbani ama nyakati zingine kwenda kuangalia mpira na pengine kwenda bar na mhuri huo hapo juu huachiwa vijana wa ving'amuzi...
  17. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

    Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
  18. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naota nakimbizwa na nyoka

    Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka. Hii hali imedumu kwa miaka 3...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Paracetamol kudhibiti nyoka

    Paracetamol: Kwa nini dawa inayotumika kupunguza maumivu inaweza kutumika kuua nyoka? CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Serikali ya Marekani inatumia paracetamol, ambayo tunaitumia kupunguza homa kuua spishi ya 'Brown Tree Snake' katika kisiwa cha Guam. Nchi hiyo imetumia miligramu 80 ya...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo. Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo. Mganga...
Back
Top Bottom