nyoka

Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Fira: ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae

    Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo) Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini) Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka) Nusuoda:Serpentes (Nyoka)...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

    Waungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka. Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona. Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Kisinda, Chama na Kishingo wakaja kuua nyoka kwa Mkapa

    KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna uwezekano mkubwa Rs berkane au Fs rabat(nafikiri wamefuzu) kuja kuua nyoka kwa lupaso Mimbio ya kisinda...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za nyoka

    Imekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana. Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana! Msaada tutani. NB: Mimi ni muoga sana wa nyoka!
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
  7. swahiba Senior

    JamiiForums Tanzania Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Habari zenu wana Jamvi. Nimefuatilia sana hili suala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Fahamu: Maeneo 10 usiyoruhusiwa kutembelea duniani

    1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania. Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima tuchambulie kama sumu ya nyoka 'Jararacussu’ inaweza kupambana na virusi vya COVID-19

    Askofu Gwajima kwanza usife moyo kwa wewe kusimamishwa kuingia bungeni, binafsi naamini Mungu wa mbinguni anataka kukutumia kwa kazi kubwa zaidi. Ni wazi dunia haijapata jawabu ndio maana kuingia Mecca kwa hija kuna chanjo maalumu zinazokubalika siyo zote. Sasa kuna taarifa mpya kuwa sumu ya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brazil: Sumu ya Nyoka ‘jararacussu’ Yabainika Inaweza Kupambana na Covid-19

    Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19 Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza kupambana na PLPro ambayo ni enziyamu ya Corona bila kuathiri seli nyingine, ufanisi wake ni 75%...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

    Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
  13. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Tumlaumu Nyoka au Adam na Eva?

    Wasalaam, Katika wale wote tunaofuata Iman ya Mungu mmoja ama mafundisho yanayofanana na kutofautiana katika sehemu chache Haswa katika dini kuu Uislam ,Ukristo na Uyahudi. Katika pande zote hizo tunaamini jambo moja juu ya huyu mungu wetu ya kwamba yeye ndiye mjuzi wa yote yaliyotekea na...
  14. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Tunafuma na kuuza masweta ya nyoka

    Kipindi cha baridi hiki, mfugo wako asiteseke, tunafuma na kuuza masweta yao kwa bei nafuu. Mikoani pia tunatuma kwa bei nafuu.
  15. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka Mkali anazunguka Mazingira ya Nyumbani

    Msaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k. Baada ya muda...
Back
Top Bottom