Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji ,
Na tangu jioni tanesco wamekata umeme,
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo ,
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Simu si unayo licha umeme kukatika kuanzia jioni

Kwanini usiigeuze simu yako kwa ajiri ya mwanga kuangalia ni kitu gani hicho??
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji ,
Na tangu jioni tanesco wamekata umeme,
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo ,
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Kinagonga gonga huko wapi?

Usikute umeshiba maharage iyo pumzi kama taili ni mijampo.
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji ,
Na tangu jioni tanesco wamekata umeme,
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo ,
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Panda dirishani ulale hapo asubuhi tutajadiliana jinsi ya kumtoa bila kumuua.

Mwisho naomba mfikishie salamu Papa Francis hapo Vatcan.
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji ,
Na tangu jioni tanesco wamekata umeme,
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo ,
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Mwisho utaomba ushauri "unye umesimama, umekaa au umelala"
 
Usiwashe tochi. Kama uko ktk kitanda kina neti tulia. Ukiwasha tochi ya simu utatemewa mate ya simu kwenye uso. Aliingia chumbani kwangu site, nilikuwa nimewasha kandili mwnga kudogo nikasikia sauti ya kugongagonga maana nyumba full suti bati.

Ile naongeza mwanga wa taa kuona ni nini akatema mate kwenye chemli.

Nikamwona nilikuwa na mafuta ya taa nikamwaga upa nde alipokuwa.Asuuhi niikuta amekufa.

Bonge ljoka jusi.

NILIKUWA SIJUI KUNA NYOKA ENEO HILO
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji ,
Na tangu jioni tanesco wamekata umeme,
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo ,
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Alafu umesema wewe ni mwanaume!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom