nyoka

Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Fursa kwenye kilimo cha nyoka, karibuni

    KILIMO CHA NYOKA Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho. Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu fikiria uwe na Cobra kumi, Cobra mmoja anataga Mayai 60 kwa mwezi na anatotoa. Ukichukua 60 mara kumi...
  2. gango2

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Nyoka duniani

    Kama ulikuwa hufahamu: Leo ni siku ya nyoka duniani: Siku hii maalumu inatumika katika kuongeza elimu juu ya Nyoka: Siku ya leo pia inatumia kutoa elimu na kuongeza upendo kwa nyoka na kuondoa mawazo hasi juu ya nyoka. Kumbuka 1. Duniani kote kuna aina takribani 3,500 ya nyoka duniani kote 2...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nyoka na kujamiiana: Kwanini anakonda wa kike hummeza wa kiume baada ya tendo?

    Ngono ni jambo gumu. Kadiri tafiti zinavyofanywa kuhusu ngono, ndivyo mambo ya kushangaza yanavyozidi kuja. Jesus Rivas ni mtaalamu wa nyoka anayefanya kazi katika Chuo Kikuu cha Mexico Highlands nchini Marekani. Hivi karibuni Jesus alijifunza jambo la ajabu kuhusu maisha ya ngono ya nyoka...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo la Leo: Aliyeumwa na Nyoka...

    Tatizo siyo DP World, tatizo ni kumbukumbu zetu. Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile; NBC TANESCO ATC TRC -NUDA Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "Wazalendo!" Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu? Mkataba...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wazee huyu ni nyoka aina gani?

    Eti huyu nyoka anaitwaje?
  6. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Nyoka ni alama ya Tiba na Uponyaji ndio maana taasisi nyingi za Tiba hutumia nembo ya Nyoka

    Nyoka ni alama ya Tiba na Uponyaji ndo maana taasisi nyingi za Tiba hutumia nemboya Nyoka. Hata Shirika la Afya Duniani WHO linaumia nembo ya nyoka, waganga wa jadi wanafuga nyoka wa kutosha, hata kwenye nembo ya hospitali ya Muhimbili kuna chata ya nyoka, Noti ya shilingi mia tano pia ilikua na...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mapovu yanayokuwa kwenye mimea mbalimbali porini au vichakani ni mate ya nyoka

    Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la. Naomba wataalamu mnisaidie kujua uhalisia wa jambo hili Kielelezo 1: Picha ikionesha mmea umeachiwa mapovu Kielelezo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

    Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana. Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa. Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

    Hello people. Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭 Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles. Nilivyokiona tu kile...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumtoa nyoka pangoni

    Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:- "Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu" Je, ni kweli kasema maneno haya na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nyoka aina ya Cobra alazamisha ndege kutua kwa dharura

    Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra akiwa amejificha chini ya kiti chake. Rudolf Erasmus alikuwa akiendesha ndege ndogo binafsi mapema wiki hii akiwa na abiria wanne kutoka jiji la Bloemfontein kwenda Pretoria...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Yesu Kubambikiwa alitakasa vyakula vyote ina maana alimkaidi Mungu alietuchagulia vya kula? Ni ruksa kula nzi, paka, mbwa, chura, kinyonga, nyoka?

    Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k. Samaki - wawe na magamba + mapazi walioruhusiwa...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusuni: Rubani atua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya (cobra) chini ya kiti chake

    Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema. Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli fimbo ya Musa iliyogeuka nyoka ilikwenda kukaa Congo ambako mpaka leo madini yanapatikana?

    Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k. Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali...
  16. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

    Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito. 1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10. 2. Ana rangi 26 mwilini mwake. 3...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya wanaofuga nyoka na wanyama wengine wakali huishia kuuliwa nao?

    Miaka mitatu nyuma nilishuhudia Mfuga Wanyama Mmoja maeneo ya Pwani akiuwawa (akipoteza) Maisha kwa Kuuliwa na Simba aliyekuwa akimfuga na waliyezoeana na Kushibana kabisa. Hivyo hivyo zaidi ya mara Nne nimewahi Kusikia Watu Wanne tena Wataalam kabisa wa Kufuga Nyoka (Mijoka) na ambao...
  18. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    MAMBAS ni aina ya nyoka wakali wapatikanao ktk dunia ya leo. Ni nyoka wenye sumu kali na wenye kasi ktk mwendo na wana sifa ya kutaga mayai (oviparous). Kuna aina mbili za mambas : 1. GREEN MAMBAS. 2. BLACK MAMBAS. Green mamba wanasumu aina ya NEUROTOXIC na HAEMOTOXIC. Wanaishi miaka 12 hadi...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

    Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani. Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote kumiliki nyoka kipenzi imekuwa ndoto yake. Staa huyo wa Bongo mwenye umri wa miaka 32 alimtambulisha...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
Back
Top Bottom