Fira: ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda:Serpentes (Nyoka)
Familia:Elapidae (Nyoka walio na mnasaba na fira)
Nusufamilia:Elapinae
Ngazi za chini


Aspidelaps Fitzinger, 1843
Hemachatus Fleming, 1822
Naja Laurenti, 1768
Ophiophagus Günther, 1864
Pseudohaje Günther, 1858
Walterinnesia Lataste, 1887

Fira, swila au kobra (Unguja) ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae. Kwa lugha za Ulaya huitwa “cobra” ambalo ni kifupi cha cobra de capelo, jina la Kireno lamaanishalo “nyoka mwenye ukaya”. Wanaposumbuliwa nyoka hawa hujiinua na kupanua shingo zao kama ishara ya hatari. Spishi kadhaa hutema sumu kwa nguvu na hulenga macho. Sumu hii ikiingia kwa macho isababisha upofu wa muda.

images (13).jpeg
 
Back
Top Bottom