Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.
Simlaumu Tundu...
HII NDIYO SIRI YA KWA NINI MWALIMU NYERERE HAKUWA AKITHUBUTU KUVIACHA VIFIMBO VYAKE.
Unapofika katika nyumba yake iliyopo jijini Dar es Salaam maeneo ya Msasani maarufu kwa Mwalimu Nyerere, kinachoyatofautisha maisha ndani ya nyumba hiyo na zile za Magomeni na Ilala ni mazingira nadhifu.
Si...
Nimesikiliza sera mbalimbali za vyama vyetu kuelekea uchaguzi Mkuu 2020.
Kuna watu wanaaminishwa huku vijijini kuwa ukichagua mpinzani kutatokea vita.
Pia nimesikia baadhi ya redio na Tvs na kauli hata za viongozi wa juu kutoa mifano kama ya Rwanda, Libya, Misri nk kuwa ndiyo picha ya matokeo...
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
Mwalimu alipopata mkopo anasema alijifikiria sana. Akiwapa masikini chakula watakula ila baadae watasikia njaa na kutaka waprwe tena.
Yeye na team take wakaamua badala yake wamsomeshe mtoto wa masikini akiisha soma akaelimika basi ataisaidia familia yake yote moja kwa moja.
Nguvu kubwa...
Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.'
Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
NI NYERERE TU..
Leo ni siku ya NYERERE. Jina hili ni fursa kwetu sote.
Amani na umoja wetu ni matunda ya ubongo na mikono yake.
Mapema mwaka 1996 nilifika Kijijini Butiama kwa kazi maalum ya maandalizi ya masomo yangu ya juu nchini Marekani.
Majira ya saa 4 asubuhi nilipokelewa na...
Most people don't have time to sit through a whole clip or even read through a whole article or book to pick Nyerere's brain. But quotes are a fast and convenient way to honor this great man and even learn from him whether from his mistakes or achievements.
In Tanzania, it was more than one...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Wakuu Salaam:
Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani.
Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa.
Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati...
Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu.
Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)?
Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
Asemavyo Nyerere kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2020 katika kitabu chake cha "TANU na Raia"
Miezi nane kabla ya 9 Desemba 1962, siku ambayo Tanganyika ilitangazwa kuwa ni dola ya kijamhuri, yaani mwezi wa April mwaka 1962, hayati Julius Kambarage Nyerere aliandika kitabu chenye kurasa 8 kiitwacho...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania kuelekea 14 October.
Kwanini Nyerere day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (April 13)?
What's the logic behind? Ina maana kifo ni muhimu sana kuliko...
Mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika uhai wake alitoa hotuba nyingi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali, ndani na nje ya nchi. Moja ya hotuba zilizovuta hisia za Watanzania wengi ni ile aliyoitoa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi mnamo...
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.
Kilomita zaidi ya 1800...
"Tunataka Rais ambaye si mkabila, si kaburu. Makaburu wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa. Ni makaburu tuu, mimi siwaonei haya hata kidogo ni makabuuruu tuu. Kwa sababu kama una mawazo yaleyale kama ya kaburu wa South Africa ila tofauti yako kwamba ni mweusi ni kaburu tu."
"Wazungu wa South...
Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa.
Alijiamini kupita kiasi.angekuwa amejishusha kiasi flani alikuwa ana uwezo wa kuifikisha nchi mbali sana. Alikuwa na...
Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa
Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28.
Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.