nyerere

  1. lendila

    JamiiForums Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere: Maendeleo hayana budi yawe ni "maendeleo ya watu"

    Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na sio vitu, naomba.ujumbe huu umfikie mwingulu Maendeleo ni watu, siyo vitu NUKUU YA MOJA KWA MOJA...
  2. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania GE2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

    Wakuu, Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa. Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ilimzuia Julius Nyerere asiendelee kufanya kampeni za TANU

    Mwaka 1957 chama cha TANU kilishaonekana ni tishio kwa serikali. Serikali ikaanza kukabiliana nacho. Serikali ikasema kwamba Rais wa TANU yaani Julius Nyerere anatukana viongozi wa serikali. Hivyo chama cha TANU ni chama cha wakorofi kinachovunja amani ya nchi. Hivyo Serikali ikaanza kufunga...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Excellent campaigning, Tundu Lissu, but avoid bashing Nyerere!

    Tundu Lissu's campaigning has been excellent - exposing the oppression of the current CCM leadership for all to see. Generally he has reduced attacks on previous leaders and directed his fire on to the current one. That is one of the brilliant tactics, to narrow the field of attack and isolate...
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

    Huyu mgombea kila kukicha anawapotosha wananchi kwa kuwaeleza mambo ambayo si sahihi. Anaongea mambo ambayo hayajui na hana utalaamu nayo. Hana wataalamu wa kumshauri ukweli wa kile anachokusudia kuwaeleza wananchi. Moja ya upotoshaji anasema ni kuwa akichaguliwa atawaletea watanzania wote...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugai: "Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwl Nyerere na Karume na chama chetu CCM hatuwezi iachia Ikulu

    "Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai
  7. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Utii ukizidi huzaa uoga na uoga ukizidi huzaa unafiki na unafiki ukizidi huzaa kujipendekeza

    Maneo haya ya mwalimu Nyerere ni summary ya baadhi ya wanasiasa katika awamu ya tano. Kutii kupita kiasi, kiasi cha kuogopa kukosoa, kusifia sana kupita kiasi kama vile hakuna mapungufu na kujipendekeza kuliko pita kiasi kama vile wako mbele ya mungu na sio mwanadamu.
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

    Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa. Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania 1995: Siku Jakaya Kikwete alivyomuinua kitini Rais mstaafu Nyerere

    Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM. Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu. Jionee mwenyewe jinsi mambo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za mwalimu Nyerere, Waziri wa Utalii, Dr. Kigwangalla angeeleza alikopeleka pikipiki 25

    Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere. Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi lazima angeitwa na tume ya maadili pale jirani na Avalon cinema kujieleza. Yote kwa yote namuunga mkono...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Samia: Nakubaliana na Makongoro Nyerere, CHADEMA ni jiko la mkaa huwezi kulikumbatia ama litakuunguza au litakuchafua na masizi!

    Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki. Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi. Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya...
  12. abel p

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere na mfano wa Yanga kuiokoa Simba

    Wakuu salam leo nilikuwa nafuatilia kwa kalibu kampeini za Magufuli kule mkoani mara mara baada ya kupanda kaka wa taifa kama alivyoitwa na katibu makongoro alitiwa mifano mingi mizuri ila miwili tu mifano iliyo nivutia 1. Alisema huwezi kukumbatia jiko la makaa ya moto 2. Alitowa mfano wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
  14. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

    Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu. "Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii tabia ya Lissu kutumia maandiko ya Mwl. Nyerere kuhusu maendeleo ya vitu ni unafiki na upotoshaji

    Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka. Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza TCRA wapige marufuku matangazo ya BBC nchini Tanzania. Wameitukana kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

    Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi. Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
  17. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa leo ijue historia ya vyama vingi awamu ya pili baada ya uhuru

    Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine. Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
  18. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mpaka Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, uchumi wa Tanzania ulikuwa ni mkubwa kuliko wa Kenya. Marais waliomfuatia walikwama wapi?

    Kuna shida mahali. Pamoja na watu kumnanga (very incorrectly and unfairly) Mwalimu Nyerere (RIP mzee wetu) kuhusu sera zake za uchumi, inaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya vizuri zaidi kiuchumi kwa kuchukulia nchi ya Kenya kama benchmark. Nimeichukulia Kenya kama benchmark kwa vile ndiye...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ugumu wa kupata kibarua hapa Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Wakuu habarini za majukumu! Ni karibu miezi 2 sasa toka nilipotoka Dar na kujielekeza Morogoro eneo la Kisaki kutafuta riziki ya familia kwenye Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme. Wakuu huu mradi ni mkubwa sana ila utaratibu wa kuchukua wafanyakazi hasa get la Kisaki ni mbovu sana. Wajumbe...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kumbe uchaguzi wa kwanza kabisa wa Tanganyika mwaka 1960 Mwl. Nyerere alipoteza jimbo moja tu ambalo ni la Karatu, Lissu ameeleza leo

    Picha: Lissu akihutubia Karatu muda huu Leo Tundu Lissu anasema kuwa katika uchaguzi wa kwanza kabisa Tanganyika mwaka 1960, Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere alipoteza jimbo moja tu la Karatu kwa mtu anayeitwa Sarwatt kisha baadaye akaja kuwa mkulima maarufu aliyekamata ndege ya Tanzania...
Back
Top Bottom