Kitendo cha Tundu Lissu kulala nyumbani kwa mwalimu Nyerere bila kwenda nyumbani kwa mzee Mtei siyo cha kiungwana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.

Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.

Simlaumu Tundu Lissu kwa sababu sijui kilichomsibu akiwa Arusha lakini namkumbusha tu wakati mwingine asirudie kosa hili la kiufundi.

Nawatakia Watanzania uchaguzi wenye baraka.

Ukimkubali Nyerere utampigia kura Dr Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sawa, lakini majibu yote yatapatikana kesho.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Hujiulizi Kwanini Mbowe amemsusia chama ?
Chadema ya lissu imejaa washamba
 
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.

Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.

Simlaumu Tundu Lissu kwa sababu sijui kilichomsibu akiwa Arusha lakini namkumbusha tu wakati mwingine asirudie kosa hili la kiufundi.

Nawatakia Watanzania uchaguzi wenye baraka.

Ukimkubali Nyerere utampigia kura Dr Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli & ccm mpya hawana unasaba wowote na Nyerere! Pengine kwenye matumizi tuu ya rangi ya kijani aliyo iasisi Nyerere! Kwenye falsafa zao za siasa, demokrasia, diplomasia hakuna huo unasaba!
 
Matokeo utayaona siku chache sijazo, Wachaga wamesha jump ship na Mkoa wa Kilimanjaro chadema watapoteza kura nyingi sana, ...
 
Lissu yule hajakamilika, anajitaji mtu kama Mbowe kumtengenezea personality

Ukifuatilia hotubs nyingi za lissu zimejaa matusi Kwasababu anakuwa hana mpangilio
Sasa Kaka yangu bia yetu, ulitaka Mbowe aliache jimbo lake?

Mbona kwa JPM hatumuoni Mwigulu, au nape, au January,?
 
Lissu yule hajakamilika, anajitaji mtu kama Mbowe kumtengenezea personality

Ukifuatilia hotubs nyingi za lissu zimejaa matusi Kwasababu anakuwa hana mpangilio

Then Mbowe jimboni kwake inakuwaje?
 
Deep down Lisuu ni CCM wa kutupwaaa na atamchagua Magufuli...

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mzee mtei kauza chama kwa mkwewe. Saccos ni mali ya mjasiriamali siasa Mbowe.
 
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.

Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.

Simlaumu Tundu Lissu kwa sababu sijui kilichomsibu akiwa Arusha lakini namkumbusha tu wakati mwingine asirudie kosa hili la kiufundi.

Nawatakia Watanzania uchaguzi wenye baraka.

Ukimkubali Nyerere utampigia kura Dr Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu, na wewe umeishiwa hivi? kweli ?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom