nyerere

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Yericko Nyerere ahukumiwa jela miaka mitatu au faini ya Mil 5 kwa uchochezi, alipa faini na kuachiwa huru

    Taarifa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu inasema kwamba Kada wa Chadema, Mkulima wa bamia, mfanyabiashara na Mtunzi mahiri wa vitabu vya ujasusi, Yerricko Nyerere ambaye ni mkazi wa Kigamboni, leo amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu Jela ama kulipa faini ya Shilingi milioni 5 za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Waliomfuata ni..... Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania. Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania. All - Rounder ( alias...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama hawakumuenzi hayati Mwl Nyerere ndio watamuenzi hayati J.P. Magufuli? Yetu macho...

    Hayati baba wa Taifa alipong'atuka na kuliacha hili taifa mikonononi mwa warithi wake kwa namna alivyokuwa hapendi rushwa,ubadhirifu na uzembe hakuna mtu aliyetegemea kuwa litakuja kugeuka kuwa taifa la wanaCcm mafisadi na walarushwa. Mpaka hayati JPM anapewa nafasi ya kugombea CCM ilikuwa...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, ukianza kutembea na wake za watu huwezi kuacha

    Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa. Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu, miaka hiyo nilikua nasoma chuo, likizo ndogo ndogo nikawa naenda pale kwa binamu yangu nikaishia...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika. Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

    Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ryoba: Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Uhuru wa Tanganyika uchelewe ili tupate pamoja na Kenya na alikuwa tayari Kenyatta awe Rais!

    Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tupate pamoja na Kenya kadhalika alikuwa tayari kumwachia mzee...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya hatujapokea taarifa au hatujatangaziwa hata Mwalimu Nyerere aliyakataa

    Hivi karibuni kumekuwa na matamko mfano hatujapewa taarifa kwamba kwenda kuhiji ni lazima mahujaji wawe wamechanjwa chanjo ya Corona AU hatujapewa taarifa toka Kenya kwamba mahindi toka Tanzania yamezuiliwa kuingia Kenya n.k. Hizi kauli hata mzee Nyerere aliwahi kuzikataa eti hatujatangaziwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: The Father of Our Nation

    Freedom and unity Freedom and socialism Freedom and development Poverty is bad but poverty in thoughts is worse Source: Personal development How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John Stuart Mill , the guru of theory of Utilitarianism The History of Utilitarianism First published Fri...
  11. one one chief

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipigana Vita vya Kagera, Magufuli anapigana Vita ya Corona. Tumuombee

    Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono...
  12. J

    JamiiForums Tanzania TBC yarusha kipindi maalumu kumuenzi marehemu Injinia Kamuhaba wa Bwawa la Nyerere aliyeugua kwa muda mfupi

    TBC leo imerusha kipindi maalumu cha kumuenzi aliyekuwa Msimamizi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Injinia Kamuhaba aliyefariki January 19 katika hospitali ya muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi. Injinia Kamuhaba alikuwa mwafrika wa kwanza nchini kusimamia mradi mkubwa wenye thamani ya zaidi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Kenneth Kaunda wakioneshwa ramani ya ujenzi wa reli ya Tazara

    Tukio hili limetokea miaka ya 1970's wakati wa mchakato wa Ujenzi wa Reli ya Tazara inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia. Mradi huo wa kimkakati ulifadhiliwa na na Serikali ya China...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kodi ilirahisisha Nyerere kudai Uhuru wa Tanganyika

    Kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote, lakini kodi nyingi zisizolipika ni chanzo cha kuanguka dola lolote duniani. Ukisoma historia madola mengi yalianguka baada ya watawala kuwatoza watawaliwa kodi kubwa zisizolipika ili kugharamia mipango ya serikali au matumizi binafsi ya watawala...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iandae sherehe kubwa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Nyerere

    Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika. Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Bado mwaka mmoja na miezi michache Hii ni fursa nzuri sana ya kumuenzi Mwalimu, na kuitangaza nchi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

    CCM ni chama dola. CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi. CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania. Dkt. Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla. Kwa mageuzi makubwa...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mama Ana Makinda asema Nyerere alitaka self made opposition. Aongelea hali mbaya ya uchumi 1983 na uenyekiti wake mali za wahujumu uchumi

    Kwenye kipindi Cha TBC muda huu mdahalo wa uongozi mama Anna Makinda anasema yeye alikuwa na wenzake 20 ambao ni wapinzani bungeni na anasema walikuwa ni self made opposition. Na walikuwa wakali mpaka Nyerere aliahirisha Safari yake ya Ruvuma akafika bungeni akamwambia Cleopa David Msuya hawa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Landrover 09 (marufu rover ya Nyerere) na land rover discovery za sasa wapi watengenezaji wanakosea nahisi kutafta tena 09

    Nipo tayari kuitwa mshamba, nimezaliwa nimeikuta landrover 09 na hadi Leo IPO kule kijijini, lakini landrover discovery, defender ni mbovu sana trip pori trip gereji wapi watengenezaji wanakosea sasa, kifupi napenda brand najiona kutafta rover 09 tena siku za usoni, wapi ntakuwa nimekosea
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baraza la kwanza la Mawaziri, Mwalimu Nyerere akiwa Waziri Mkuu

    HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11. Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
Back
Top Bottom