nyerere

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Malecela: Tunafanya makosa makubwa sana kumfananisha Hayati mwalimu Nyerere na Rais wa sasa Magufuli

    WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Pili, John Malecela, ni miongoni mwa viongozi wachache nchini waliobahatika kufanya kazi kwa muda mrefu na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Wakati Taifa likiadhimisha miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa, MTANZANIA Jumapili limefanya mahojiano maalumu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

    Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuiona Tanzania aliyoiacha Mwalimu Julius Nyerere inarudi tena

    Kwa tuliobahatika kuushudia utawala wa mwl JKN ni wazi kabisa kuwa ni mashuhuda kuwa tuliishi maisha yasiyo na stress Kuanzia shule ya msingi mpaka Chuo Kikuu ilikuwa ni bure, huduma za afya bure. Kulikuwa hakuna matabaka maana hakuna cha mtoto wa kigogo au kibopa kusoma shule tofauti na...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

    Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere. Miaka hiyo intake moja ilikuwa inachukua wadahiliwa 50 na majina yote tulikuwa tunayakuta kwenye gazeti la Daily News, gazeti la...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu Nyerere, au story yake...
  6. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

    Umuofia Kwenu wana JF, Kheri ya Mwaka Mpya! Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es Salaam. Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose amefariki katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam ambako alilazwa kwa muda mrefu. Bwana alitoa...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikosea kuhusu mpango wa Muungano wa Afrika?

    Nilisoma kwenye Raia mwema kuwa baada ya uhuru kulikuwa na mpango wa kuunda shirikisho la Africa. Ilitokea tofauti kubwa ya mawazo ya jinsi ya kuanza umoja huo. Kwame wa Ghana alitaka shirikisho lianze mara moja. Nyerere akasema hapana, tuanzishe kwanza mashirikisho ya kikanda na yakikua na...
  8. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

    Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu, Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu...
  9. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

    Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwamakula: Waislamu walimkaribisha Nyerere na kumpa uongozi wakati wa kudai uhuru ili kumuondoa mkoloni!

    Mzee Mwamakula ambaye ni afisa wa jeshi la polisi mstaafu akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV amesema wazee wa kiislamu ndio waliokuwa wanaendesha harakati za kudai uhuru na kwamba Mwalimu Nyerere alikaribishwa na wazee hao ili kuongeza nguvu wakampa na uongozi...
  11. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Julius Nyerere followers; Wafuasi wa Mwalimu Julius Nyerere

    MWALIMU JULIUS NYERERE FOLLOWERS;WAFUASI WA MWALIMU JULIUS NYERERE. Leo 14:15hrs 09/12/2020 Niwatakie Watanzania wote bara na visiwani heri na baraka tunaposherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wetu,Uhuru na maendeleo ni vitu vinavyohusiana sana,uhusiano wao ni sawa na uhusiano baina ya kuku...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

    Wadau wa JF habari zenu. Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk. Natanguliza...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Hayati Baba wa Taifa ukifufuka kila mtu ataingia chini ya uvungu

    Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake. Kutokana na vile aliona mengi Mwalimu aliona miaka miamoja ya Taifa hili hivyo aliweka mikakati yakuhakikisha...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

    Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba. Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Katika wanasiasa kumi wa Tanzania ya leo, wanasiasa wa enzi za kina Nyerere ni wangapi katika hao kumi?

    Naomba tufanye tathimini kupitia mtandao huu wa JamiiForums juu ya namna gani wananchi wanawachukulia wanasiasa wa kizazi cha leo kuwalinganisha na wale wa kiza cha Mwalimu Nyerere,mtu alieacha kazi ya ualimu na kwenda kupigania uhuru wa Taifa hili kazi ambayo kama sikosei haikuwa na masilahi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

    Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia. Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tundu Lissu vs Magufuli na Vita ya Kambona vs Nyerere, ipi Kali?

    Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu Libya, Misri, na Palestina

    ..kwanza nimpe shukurani mwanachama mwenzetu Shwari kwa kutuletea makala hii. ..nimeona niilete makala hii ktk jukwaa la siasa ili iweze kusomwa na wanachama wengi zaidi. In an interview with Nawal El Saadawy of Egypt's El Mussawar first published on 19 October 1984, Mwalimu Nyerere discusses...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

    Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Busara za Nyerere zisisahaulike

    Mara mbili katika matukio muhimu nchini, Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa ushauri ambao huenda tumeanza kuusahau. Moja ni pale alipowashauri wa Tz kuukubali mfumo wa vyama vingi vya kisiasa - alisema, pamoja na kwamba waliokataa ni wengi, lakini hawa wachache wana umuhimu wake la sivyo tutabweteka...
Back
Top Bottom