nyerere

  1. J

    JamiiForums Tanzania Siku CCM itakapotenganisha nafasi ya Rais wa JMT na Mwenyekiti basi itakufa hapohapo, Nyerere alijaribu akafeli!

    Siku ambayo CCM watakubaliana kutenganisha nafasi ya Rais wa JMT na mwenyekiti wa CCM basi watakuwa wanajichimbia kaburi na watadumbukia mara baada ya kufunga mkutano kitakachobaki ni wananchi kufukia tu kwa mchanga. Nyerere alijaribu hii wakati Rais Mwinyi alipoingia madarakani mwaka 1985 na...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa dola la...
  3. Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Misremembering Mwalimu Nyerere: Revisiting the Legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    PROCEEDINGS OF THE INTERNATIONAL CONFERENCE ON 8-9 August 2002 Peace, Unity and People – Centred Development The Legacy of Mwalimu Julius K Nyerere OFFICIAL CLOSING ADDRESS By Ambassador Emmanuel Asajile Mwambulukutu Tanzania High Commissioner to South Africa (1999 – 2008) Chairperson...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huku kazi ikiwa inaendelea tukumbuke kuwa Mwl. Nyerere alijenga uzalendo na umoja wa hali ya juu, kwanini sasa haiwezekani?

    Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali ya watu kupata mavazi mazuri kama hii leo ilikuwa ni kazi ngumu. Shule zilikuwa ni za umma...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

    Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa. Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru. Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

    TANZANIA :- MAJI YA KUFUA UMEME JNHPP KUJAZWA NOVEMBA 2021 Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani leo tarehe 21 Februari, 2021 katika ziara yake kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere megawati 2115, amesema zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Profesa Assad akisifia mradi wa Bwawa la Nyerere

    Mimi sitasema mengi ila asilimia 60 ya msio na uwezo mtasema.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya Mh. Kassim Majaliwa kuhusiana na Bwawa la Umeme la Nyerere

    Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo. Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazini anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Bwawa la umeme kukamilika Juni 2022

    Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi. Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo. PM amesema...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

    Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na...
  11. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Ujenzi Bwawa la Nyerere unaendelea kwa kasi

    Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo ametembelea mradi wa bwawa la Nyerere na kuwataka watanzania kuwapuuza wale wote wanaosema mradi huo hauna faida kwa nchi. Mh Majaliwa amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi wa 6/2022 na kukabidhiwa kwa watanzania tayari kwa matumizi.
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkuchika tangu kipindi cha Nyerere yupo Serikalini mpaka sasa. Ana nini cha ajabu?

    Mwenye wasifu pls atuwekee hapa. Huyu Mzee ana jambo gani ambalo limemfanya adumu katika vipindi vyote vya uongozi wa nchi hii? Amekuwa zaidi ya Wassira! Hebu mnaomfahamu mtujuze kuna nini kwa huyu Mzee wetu?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

    Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka" Kila zama na kitabu chake. Maendeleo hayana vyama!
  15. MaxShimba

    JamiiForums Tanzania Kalambo Waterfalls Tanzania

    The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Magufuli amemfunika Nyerere kwa waombolezaji kwa sababu ya mtandao au ni kweli?

    Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama Mtanzania aliyezikwa na...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25. Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo...
  18. Keynez

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan anavunja trend hii ya toka enzi za Nyerere

    Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko. Baadhi ya majadiliano haya nayaona yana mantiki sana ila sitaenda kuyagusia kwa sasa. Mimi nitaongelea suala la majina ya Marais...
  19. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Sielewi Kigwangalla anataka kuonesha nini kati ya Tanzania ya Magufuli VS Tanzania ya Nyerere!

    Nimesoma Bandiko moja la Mheshimiwa Kigwangala nikashindwa kabisa kuelewa anataka kuwaelezea nini Watanzania kati ya Tanzania hii aliyoiacha Hayati Magufuli na ile ya Kipindi cha Hayati Nyerere. Kigwangala Nanukuu Ameandika "Rais Magufuli alitamani kuona nchi inabaki...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

Back
Top Bottom