Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,716
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.

Ajali imetokea jana, amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.

Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.

Ijumaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere, mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa, siku saba baadaye, Ijumaa usiku, Chief amefariki katika ajali ya boda boda.
Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.

Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika ajali mbili.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.

Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.

Kwa hiyo, ilikuwa ni ajali ya piki piki, siyo ajali ya gari.
 
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya gari usinu wa kuamkia leo Jumamosi.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.
Ijimaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere,mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa,siku saba baadaye,Ijumaa usiku,Chief amefariki katika car crash. Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika car crash.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.
We will update this.
Polenj sana msiba mzito mrudi mwitongo mkatambike.....kuna shida sehemu ajali ndani week 1 tuuuu......mrudi mizimu yenu
 
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya gari usinu wa kuamkia leo Jumamosi.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.
Ijimaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere,mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa,siku saba baadaye,Ijumaa usiku,Chief amefariki katika car crash. Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika car crash.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.
We will update this.
Mzee Nyerere atawapiga mapigo 12, mmmedhalilisha sana WAZANAKI mnaenda kuzika Mjukuu wa Chief UKWENI kwa MAKONGORO kule Arusha?? Haya ni Matusi sana kwa PATRINIAL CLAN...
Poleni kwa msiba mwingine kikubwa tukazike ndugu zetu MWITONGO tuache kuendeshwa na wake zenu badilikeni.
 
hili nalo neno, sababu ya mjukuu kuzikwa ukweni ni nn mkuu? walishindwa kusafirisha?
 
Walikufa walikuwa wanafanya nini?

Labda nikuulize maana wewe! Wakati wa vita na Nduli Idd Amin jeshi la wananchi wa Tanzania tulikuwa hatufuki hata 5000 mimi nikiwa mmojawapo wa wanajeshi. Na kule kwenye vita yaani mstari sa mbele hatujufika hata 3000 tulioenda kupigana hadi kumng’oa na kumkimbiza Nduli toka ardhi ya Tanzania na Uganda! Hao watu elfu 20 walitokea wapi? Nijibu hapa maana wewe inaonekana unakunywa pombe aina ya ‘pingu’ ambayo kabla hujaanza kunywa lazima ufunge pingu suruali juu kidogo ya magoti ili kuzuia mzigo!
 
Back
Top Bottom