Kuhusu Nyerere kutangazwa mtakatifu: Kanisa Katoliki mnataka watu wamwige Nyerere kwa lipi hasa? Umaskini, udikteta, ujamaa, ucheshi au nini hasa?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,555
Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa jamii na kumfanya Nyerere aonekane "The Legend"? Ni kosa kumtangaza mtu mtakatifu hata kabla mwili wake haojaoza kikamilifu kwani ni kikwazo kwa wale waliokuwa wakimfahamu fika wakati wa uhai wake. Huu ndio "utaratibu" wa magwiji wa Kanisa kufuatia uzoefu wao wa karne nyingi.

Nyerere anahusishwa na matambiko ya kitaifa: tambiko la Bagamoyo, tambiko la Zanziba na tambiko la Lindi, je Kanisa Katoliki mnataka tuige nini hasa kutoka kwa Mwalimu? Hata kama mambo haya ni hearsay tu, je hamuoni kwamba tayari ni chanzo cha makwazo?

CCM na uchafu wao wote wakati wa Nyerere na baada ya Nyerere ndio kitu kikubwa alichoacha Nyerere kwa Watanzania, na wote hata nyie mapadre na maaskofu mnajua kikundi hiki kinachoitesa nchi hii na kulifanya Taifa letu kuendelea kubaki katika lindi la umaskini na ufisadi mkubwa! Je Kanisa Katoliki mnafikiri kwamba kwa kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu sio kuwakwaza watanzania zaidi ya kuwapa mwanga?

Je katiba mbovu tuliyonayo sio matunda ya Nyerere? Juzi juzi maaskofu "mmetaabika" kukataa mkataba mbovu wa bandari, mambo hayo sio yanatokana na utamaduni mbovu wa usiri na katika mbovu iliyoasisiwa na Nyerere? Bado tu mnaona anafaa kuigwa au mmeamua kuwatafutia makwabwela "mtakatifu" wao?

Nyerere alijitahidi kuishi ukatoliki vizuri lakini hakufikia kiwango cha "utakatifu" wa kuigwa na jamii ya kitanzania. Kama ni kufa maskini licha ya kuwa rais, basi wapo wengi waliokufa maskini ambao nao walikuwa na madaraka makubwa serikalini.

Nyerere alifanya mambo mengi ambayo ndio yameifanya Tanzania kuwa nchi ya amani na umoja. Jambo hili halitoshi kumfanya mtu kuwa mtakatifu. Nyerere pia alifanya mengi ya kuwarudisha watanzania nyuma kimaendeleo, iwe ni kwa maksudi au kwa bahati mbaya. Leo hii kama nchi tumeendelea kuwa maskini kutokana na siasa na staili ya uongozi wa Nyerere. Kama Kanisa Katoliki linafikiri umaskini ni utakatifu, basi linalo sababu ya kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu.

Nyerere aliruhusu mtu kunyongwa wakati wa uongozi wake. Tangu ruhusa hii italewe, sio Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli na Samia wamewahi kusaini mtu anyongwe. Pengine hawa waweza kuwa watakatifu zaidi ya Nyerere kwa hili.

Nyerere alibana baadhi ya makabila na kuyarudisha nyuma kimaendeleo na kuwafanya kuwa maskini. Leo hii taifa lipo huru zaidi kuliko wakati wa Nyerere ambapo yeye alikuwa kila kitu na kuvaa sura ya dikteta, a limiting figure.

Wapo wakristo wengi tu wenye heroic life (maisha matakafifu) tena kwa kuweka juhudi kubwa na jasho la damu. Nyerere hakuwa na juhudi za kipekee kuwa mtakatifu na alibebwa zaidi na nafasi yake kama rais.

Kanisa Katoliki mnafikiri Nyerere mwana wa kichifu na mtu aliyeishi ikulu muda mwingi wa maisha yake alikuwa kweli heroic katikati ya life securities alizo enjoy wakati wote wa maisha yake? Wale wengi ambao Nyerere aliwafanya kuwa maskini wakubwa leo hii wananyimwa hata kumunio takatifu na kuzikwa bila padre kwasababu ya umaskini wao, je bado mnataka tumwone Nyerere kuwa mtakatifu na atuombee kwa Mungu au sisi tumwombee kwa Mungu?

Marais wengi hutunukiwa tuzo mbalimbali kwasababu tu wapo katika nafasi ya urais. Nyerere halikadhalika anatunukiwa "utakatifu" kwasababu hizo hizo.

Kanisa Katoliki lijiulize hasa kwanini linataka kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu na kuacha hata kufanya utafiti kidogo juu ya wakristo wengi sana nchini wanaoishi "heroic life" kimyakimya. Je, ni kutafuta sifa ya kuwa na mtakatifu? Je ni kulifanya Kanisa Katoliki nchini kujulikana zaidi? Je ni political ambitions za baadhi ya wanajamii, mapadre na maaskofu kupata sifa juu ya mchakato huu?

Maaskofu mjiulize kwanini kati ya watawa na makleri lukuki wa Kanisa Katoliki hakuna juhudi kubwa kama hizi za kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu? Je ni siasa tupu?

Tunaojua madhara ya siasa za Nyerere katika maendeleo ya Tanzania tunaamini kuwa hakupaswa kufikia hatua hizo za kuelekea kwenye kutangazwa mtakatifu. Umaaruru wa mtu usiwekwe kwenye mchakato wa utakatifu, Kanisa linapaswa kutenganisha haya mambo.

Kanisa Katoliki liangalie zaidi nini matokeo ya kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu kwa wale waliobakia hai na wanaomjua Nyerere na sera zake zilizoiachia Tanzania alama ya kudumu ya umaskini. Je Kanisa Katoliki mnataka hasa tumwige Nyerere kwa lipi? Umaskini, ucheshi, udikteta au nini hasa?

Je maaskofu mnaamini kweli kwa Nyerere kuwa mtakatifu kuna faida gani za kiroho au hata za kimwili kwa watu? Mnafikiri tunaongeza idadi ya "waombezi" wetu kwa Mungu? Au ni suala la kisiasa zaidi lisilo na faida kiroho wala kimwili? Je mnatazama na upande wa pili au kofia zenu zinawazuia kuona upande mwingine?
 
katika mojawapo ya story zake, alieleza namna alivyokutana na wazee wa bagamoyo, na mambo ya kishirikina, na anasema hata yeye mambo hayo alikuwa mtundu. nikajiuliza, kumbe wakatoliki mtu aliyekuwa mshirikina anaweza kuwa mtakatifu? au hata wao ni washirikina?
 
Muandikie Father Kitima katibu mkuu wa TEC.
Kama huna mawasiliano yake Google TEC utapata.
Karibu sana kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
Kwani hao unaowaona leo wameandikwa kwenye biblia kuwa ni watakatifu unadhani hawakuwa binadamu na hawakuwa na mapungufu??
 
ni kwa ajili ya Wakatoliki nafikiri, waislamu hawana mtakatifu yoyote, hivyo waislamu haiwahusu. Wakatoliki wanajua kwa nini au sababu za mtu kuitwa Mtakatifu kuna utaratibu na hatua za kupitia na iko hivyo kwa miaka karibia 2000, hivyo waislamu mnaweza kumuita mnavyotaka, haiwahusu …
 
Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa jamii na kumfanya Nyerere aonekane "The Legend"? Ni kosa kumtangaza mtu mtakatifu hata kabla mwili wake haojaoza kikamilifu kwani ni kikwazo kwa wale waliokuwa wakimfahamu fika wakati wa uhai wake.

CCM na uchafu wao wote wakati wa Nyerere na baada ya Nyerere ndio kitu kikubwa alichoacha Nyerere kwa Watanzania, na wote hata nyie mapadre na maaskofu mnajua kikundi hiki kinachoitesa nchi hii na kulifanya Taifa letu kuendelea kubaki katika lindi la umaskini na ufisadi mkubwa! Je Kanisa Katoliki mnafikiri kwamba kwa kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu sio kuwakwaza watanzania zaidi ya kuwapa mwanga?

Nyerere alijitahidi kuishi ukatoliki vizuri lakini hakufikia kiwango cha "utakatifu" wa kuigwa na jamii ya kitanzania. Kama ni kufa maskini licha ya kuwa rais, basi wapo wengi waliokufa maskini ambao nao walikuwa na madaraka makubwa serikalini.

Nyerere alifanya mambo mengi ambayo ndio yameifanya Tanzania kuwa nchi ya amani na umoja. Jambo hili halitoshi kumfanya mtu kuwa mtakatifu. Nyerere pia alifanya mengi ya kuwarudisha watanzania nyuma kimaendeleo. Leo hii kama nchi tumeendelea kuwa maskini kutokana na siasa na staili ya uongozi wa Nyerere. Kama Kanisa Katoliki linafikiri umaskini ni utakatifu, basi linalo sababu ya kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu.

Nyerere aliruhusu mtu kunyongwa wakati wa uongozi wake. Tangu ruhusa hii italewe, sio Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli na Samia wamewahi kusaini mtu anyongwe. Pengine hawa waweza kuwa watakatifu zaidi ya Nyerere kwa hili.

Nyerere alibana baadhi ya makabila na kuyarudisha nyuma kimaendeleo na kuwafanya kuwa maskini. Leo hii taifa lipo huru zaidi kuliko wakati wa Nyerere ambapo yeye alikuwa kila kitu na kuvaa sura ya dikteta, a limiting figure.

Wapo wakristo wengi tu wenye heroic life (maisha matakafifu) tena kwa kuweka juhudi kubwa na jasho la damu. Nyerere hakuwa na juhudi za kipekee kuwa mtakatifu na alibebwa zaidi na nafasi yake kama rais.

Kanisa Katoliki mnafikiri Nyerere mwana wa kichifu na mtu aliyeishi ikulu muda mwingi wa maisha yake alikuwa kweli heroic katikati ya life securities alizo enjoy wakati wote wa maisha yake? Wale wengi ambao Nyerere aliwafanya kuwa maskini wakubwa leo hii wananyimwa hata kumunio takatifu na kuzikwa bila padre kwasababu ya umaskini wao, je bado mnataka tumwone Nyerere kuwa mtakatifu na atuombee kwa Mungu au sisi tumwombee kwa Mungu?

Marais wengi hutunukiwa tuzo mbalimbali kwasababu tu wapo katika nafasi ya urais. Nyerere halikadhalika anatunukiwa "utakatifu" kwasababu hizo hizo.

Kanisa Katoliki lijiulize hasa kwanini linataka kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu na kuacha hata kufanya utafiti kidogo juu ya wakristo wengi sana nchini wanaoishi "heroic life" kimyakimya. Je, ni kutafuta sifa ya kuwa na mtakatifu? Je ni kulifanya Kanisa Katoliki nchini kujulikana zaidi? Je ni political ambitions za baadhi ya wanajamii, mapadre na maaskofu kupata sifa juu ya mchakato huu?

Maaskofu mjiulize kwanini kati ya watawa na makleri lukuki wa Kanisa Katoliki hakuna juhudi kubwa kama hizi za kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu? Je ni siasa tupu?

Tunaojua madhara ya siasa za Nyerere katika maendeleo ya Tanzania tunaamini kuwa hakupaswa kufikia hatua hizo za kuelekea kwenye kutangazwa mtakatifu. Umaaruru wa mtu usiwekwe kwenye mchakato wa utakatifu, Kanisa linapaswa kutenganisha haya mambo.

Kanisa Katoliki liangalie zaidi nini matokeo ya kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu kwa wale waliobakia hai na wanaomjua Nyerere na sera zake zilizoiachia Tanzania alama ya kudumu ya umaskini. Je Kanisa Katoliki mnataka hasa tumwige Nyerere kwa lipi? Umaskini, ucheshi, udikteta au nini hasa?

Je maaskofu mnaamini kweli kwa Nyerere kuwa mtakatifu kuna faida gani za kiroho au hata za kimwili kwa watu? Mnafikiri tunaongeza idadi ya "waombezi" wetu kwa Mungu? Au ni suala la kisiasa zaidi lisilo na faida kiroho wala kimwili?
Haya uliyoyaeleza hapa ndio unayotakiwa kuyaeleza kwenye hiyo tume ukiwa na ushahidi usioacha shaka. La kufurahisha mchakato huu huwa huru yatapelekwa mazuri na mabaya yake.
 
Muandikie Father Kitima katibu mkuu wa TEC.
Kama huna mawasiliano yake Google TEC utapata.
Karibu sana kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
Kwani hao unaowaona leo wameandikwa kwenye biblia kuwa ni watakatifu unadhani hawakuwa binadamu na hawakuwa na mapungufu??
Tusubiri miaka 200 ipite lakini sasa ni mapema mno ndio maana nimeweza kuandika hivi kwani namjua Nyerere.
 
katika mojawapo ya story zake, alieleza namna alivyokutana na wazee wa bagamoyo, na mambo ya kishirikina, na anasema hata yeye mambo hayo alikuwa mtundu. nikajiuliza, kumbe wakatoliki mtu aliyekuwa mshirikina anaweza kuwa mtakatifu? au hata wao ni washirikina?
Utakatifu ni pamoja na kukiri makosa uliyouafanya kama binadamu,
 
Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa jamii na kumfanya Nyerere aonekane "The Legend"? Ni kosa kumtangaza mtu mtakatifu hata kabla mwili wake haojaoza kikamilifu kwani ni kikwazo kwa wale waliokuwa wakimfahamu fika wakati wa uhai wake. Huu ndio "utaratibu" wa magwiji wa Kanisa kufuatia uzoefu wao wa karne nyingi.

Nyerere anahusishwa na matambiko ya kitaifa: tambiko la Bagamoyo, tambiko la Zanziba na tambiko la Lindi, je Kanisa Katoliki mnataka tuige nini hasa kutoka kwa Mwalimu? Hata kama mambo haya ni hearsay tu, je hamuoni kwamba tayari ni chanzo cha makwazo?

CCM na uchafu wao wote wakati wa Nyerere na baada ya Nyerere ndio kitu kikubwa alichoacha Nyerere kwa Watanzania, na wote hata nyie mapadre na maaskofu mnajua kikundi hiki kinachoitesa nchi hii na kulifanya Taifa letu kuendelea kubaki katika lindi la umaskini na ufisadi mkubwa! Je Kanisa Katoliki mnafikiri kwamba kwa kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu sio kuwakwaza watanzania zaidi ya kuwapa mwanga?

Je katiba mbovu tuliyonayo sio matunda ya Nyerere? Juzi juzi maaskofu "mmetaabika" kukataa mkataba mbovu wa bandari, mambo hayo sio yanatokana na utamaduni mbovu wa usiri na katika mbovu iliyoasisiwa na Nyerere? Bado tu mnaona anafaa kuigwa au mmeamua kuwatafutia makwabwela "mtakatifu" wao?

Nyerere alijitahidi kuishi ukatoliki vizuri lakini hakufikia kiwango cha "utakatifu" wa kuigwa na jamii ya kitanzania. Kama ni kufa maskini licha ya kuwa rais, basi wapo wengi waliokufa maskini ambao nao walikuwa na madaraka makubwa serikalini.

Nyerere alifanya mambo mengi ambayo ndio yameifanya Tanzania kuwa nchi ya amani na umoja. Jambo hili halitoshi kumfanya mtu kuwa mtakatifu. Nyerere pia alifanya mengi ya kuwarudisha watanzania nyuma kimaendeleo, iwe ni kwa maksudi au kwa bahati mbaya. Leo hii kama nchi tumeendelea kuwa maskini kutokana na siasa na staili ya uongozi wa Nyerere. Kama Kanisa Katoliki linafikiri umaskini ni utakatifu, basi linalo sababu ya kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu.

Nyerere aliruhusu mtu kunyongwa wakati wa uongozi wake. Tangu ruhusa hii italewe, sio Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli na Samia wamewahi kusaini mtu anyongwe. Pengine hawa waweza kuwa watakatifu zaidi ya Nyerere kwa hili.

Nyerere alibana baadhi ya makabila na kuyarudisha nyuma kimaendeleo na kuwafanya kuwa maskini. Leo hii taifa lipo huru zaidi kuliko wakati wa Nyerere ambapo yeye alikuwa kila kitu na kuvaa sura ya dikteta, a limiting figure.

Wapo wakristo wengi tu wenye heroic life (maisha matakafifu) tena kwa kuweka juhudi kubwa na jasho la damu. Nyerere hakuwa na juhudi za kipekee kuwa mtakatifu na alibebwa zaidi na nafasi yake kama rais.

Kanisa Katoliki mnafikiri Nyerere mwana wa kichifu na mtu aliyeishi ikulu muda mwingi wa maisha yake alikuwa kweli heroic katikati ya life securities alizo enjoy wakati wote wa maisha yake? Wale wengi ambao Nyerere aliwafanya kuwa maskini wakubwa leo hii wananyimwa hata kumunio takatifu na kuzikwa bila padre kwasababu ya umaskini wao, je bado mnataka tumwone Nyerere kuwa mtakatifu na atuombee kwa Mungu au sisi tumwombee kwa Mungu?

Marais wengi hutunukiwa tuzo mbalimbali kwasababu tu wapo katika nafasi ya urais. Nyerere halikadhalika anatunukiwa "utakatifu" kwasababu hizo hizo.

Kanisa Katoliki lijiulize hasa kwanini linataka kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu na kuacha hata kufanya utafiti kidogo juu ya wakristo wengi sana nchini wanaoishi "heroic life" kimyakimya. Je, ni kutafuta sifa ya kuwa na mtakatifu? Je ni kulifanya Kanisa Katoliki nchini kujulikana zaidi? Je ni political ambitions za baadhi ya wanajamii, mapadre na maaskofu kupata sifa juu ya mchakato huu?

Maaskofu mjiulize kwanini kati ya watawa na makleri lukuki wa Kanisa Katoliki hakuna juhudi kubwa kama hizi za kumtangaza Nyerere kuwa mtakatifu? Je ni siasa tupu?

Tunaojua madhara ya siasa za Nyerere katika maendeleo ya Tanzania tunaamini kuwa hakupaswa kufikia hatua hizo za kuelekea kwenye kutangazwa mtakatifu. Umaaruru wa mtu usiwekwe kwenye mchakato wa utakatifu, Kanisa linapaswa kutenganisha haya mambo.

Kanisa Katoliki liangalie zaidi nini matokeo ya kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu kwa wale waliobakia hai na wanaomjua Nyerere na sera zake zilizoiachia Tanzania alama ya kudumu ya umaskini. Je Kanisa Katoliki mnataka hasa tumwige Nyerere kwa lipi? Umaskini, ucheshi, udikteta au nini hasa?

Je maaskofu mnaamini kweli kwa Nyerere kuwa mtakatifu kuna faida gani za kiroho au hata za kimwili kwa watu? Mnafikiri tunaongeza idadi ya "waombezi" wetu kwa Mungu? Au ni suala la kisiasa zaidi lisilo na faida kiroho wala kimwili? Je mnatazama na upande wa pili au kofia zenu zinawazuia kuona upande mwingine?
Mambo ya wakatoliki waachie wakatoliki, angalia ya kwako yanakutosha
 
Yeyote unayedhani anastahili kuwa Mtakatifu unaruhusiwa kabisa kufuata taratibu za kanisa kuanza mchakato wa kutangazwa kuwa Mwenyeheri na hatimaye Utakatifu.
 
Kutangazwa mtakatifu inaweza fika hata miaka mia ndo akatangazwa kinachofanywa sasa ni mchakato kutangazwa mwenye heri
 
Mleta mada umetoa angalizo kwa wanaofanya huo mchakato wa kumtangaza mtakatifu.

Nina imani wamekusikia na watatilia maanani maoni yako kabla ya kuhitimisha zoezi lao.
 
Na declare interest kuwa mimi ni mkatoliki wa kuzaliwa. Ila hili nafikiri kuna agenda fulani hivi, kwa viwango vyovyote hastahili na binafsi nimekwazika sana ila sina jinsi.
 
Kwasababu ni Imani za watu ila kuamini kwamba binadamu mwenzio ni mtakatifu inahitaji moyo wa chuma, kwasababu kila binadamu anamapungufu yake,na hakuna aliyeperfect
 
katika mojawapo ya story zake, alieleza namna alivyokutana na wazee wa bagamoyo, na mambo ya kishirikina, na anasema hata yeye mambo hayo alikuwa mtundu. nikajiuliza, kumbe wakatoliki mtu aliyekuwa mshirikina anaweza kuwa mtakatifu? au hata wao ni washirikina?
Alikuwa mtundu kwa kuyateketeza kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. Hata mimi pia ni mtundu kwa nguvu ya RM
 
Pascal Mayalla say something...

Back
Top Bottom