Majuzi nilikuwa kijijini kwetu!
Lengo kuu la safari yangu lilikuwa kuwasalimia ndugu na jamaaa, maana ni miaka mingi sana imepita toka nikanyage bush kwetu.Lakini nilipofika killage yalizuka mambo mengine ambayo sikuwahi kuyasikia wala kuyaota. Na moja ya mambo hayo yanamuhusu baba wa taifa...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , amekurana na kuchota busara kutoka kwa Mwenyekiti wa Mwl Nyerere Foundation , Joseph Butiku , ambaye alifunga Safari kumtembelea Sugu Jijini Mbeya
Watu hao wazito wamezungumza mambo mengi...
SAFARI YA KWANZA UNO 1955 MWALIMU NYERERE ALISAFIRI BILA YA KUPATA CHANJO
Abdul Sykes anamwambia mdogo wake Abbas, ''Nyerere anasafiri kwenda UNO na lazima adungwe sindano (vaccination).
Mimi siwaamini hawa Waingereza wasije wakamdhuru.
Hakikisha kuwa Nyerere anapata ''vaccination...
(hapa inakaaga salamu)
Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria.
Umepeperusha bendera ya Tanzania
====
Leo nilifika mbele ya Wizara ya Wizara ya sanaa ambapo Wizara iliandaa hafla ya kuwapongeza Watanzania waliotwaa tuzo za Kimataifa...
Habari za wakati huu,
Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za refund.
Uongozi wa chuo ulituahidi kuwa utakuwa umekamilisha malipo yetu kabla ya Siku ya Graduation...
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo.
Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"...
Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha...
DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi.
DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa)
DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa)
Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
USHAURI TU
Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa
Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta
Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana...
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.
Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na...
Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye.
Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile...
Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi bungo pale Morogoro,nilipokuwa kiongozi wa chipukizi, nilipeana naye mkono mara moja japo alikuwa...
MWENEZI MAKONDA AKUTANA NA FAMILIA YA HAYATI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametembelea Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Wilayani Butiama Mkoani Mara ambapo amesalimu na...
Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana, amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni...
Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi.
Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi.
Mwishowe yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.