Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwaza nini akafanya maamuzi haya kwenye Muungano?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake.

Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya Wazanzibari ambao nao hiyo Ardhi itakuwa wapemba na waunguja. Shikamoo Baba wa Taifa.

Taifa Hilo litakuwa na jeshi moja JWTZ wakati huko kisiwani kutakuwa na jeshi lao 🇹🇿🙏

Taifa la Tanzania litakuwa na Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamuhuri na kwa Tanzania anaweza tawala yeyote kati ya mtanganyika au Mzanzibari🤣🇹🇿🤐

Kutakuwa na vitu vya Muungano na vya Tanzania Mchanga wa Tanganyika na Zanzibar utaunganishwa na atakaye taka vunja Muungano apewe mchanga aanze tenganisha⁉️

Tanzania ni nchi isiofungamana na nchi yeyote ila Zanzibar wana dini yao.

Tanzania serikali Haina dini? What?😠🤐
 
Me naomba hiyo kazi ya kutenganisha mchanga wanipe mwka mmoja tu nautenganisha ninkwenda kusoma morphology ya udongo na tabia ya sehemu walizochukua mchanga halafu unaingia chimbo.

Wanipe huo mchanga wanipe na mwaka mmoja mzma. 🤣🤣
 
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake....🤐
Alitaka kuuthibitishia ulimwengu kuwa inawezekana dagaa kummeza papa
 
Mambo unayoyashangaa wewe na wenzako yote yana majibu, ila majibu wanayo 'WENYE AKILI KUBWA' wewe hata ukiambiwa hutaelewa!
 
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake....🤐
Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya Wazanzibari ambao nao hiyo Ardhi itakuwa wapemba na waunguja🤐🇹🇿🙏 Shikamoo Baba wa Taifa.
Taifa Hilo litakuwa na jeshi moja JWTZ wakati huko kisiwani kutakuwa na makiriri😠🤐🤣🇹🇿🙏🙏
Taifa la Tanzania litakuwa na Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamuhuri na kwa Tz anaweza tawala yeyote kati ya mtanganyika au mzanzibari🤣😭🇹🇿🇹🇿🤐🤐🤐
Kutakuwa na vitu vya Muungano na vya Tz😭😭😭🤐🤐🤐
Mchanga wa Tanganyika na Znz utaunganishwa na atakaye taka vunja Muungano apewe mchanga aanze tenganisha⁉️😭😭😭🤐
Tanzania ni nchi isiofungamana na nchi yeyote ila Znz wana dini yao😭🤐
Tanzania serikali Haina dini? What?😠🤐😭
Mzee nahisi mzimu wako Kuna siku utafufuka nakurudisha Tanganyika mwenyewe 🤐🤐🤐
Kama una nia ya kujua kwa undani, unaweza kusoma kitabu cha Profesa Paul Bjerk

"Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania, 1960-1964"​

Profesa Paul Bjerk ameelezea vizuri changamoto zilizokuwapo na Mwalimu Nyerere alivyokabiliana nazo.

Nakiambatanisha hapa kwa pdf
 
Attachments

  • (Rochester Studies in African History and the Diaspora) Paul Bjerk - Building a Peaceful Natio...pdf
    10 MB · Views: 6
Mi nataka moja serikali sio mbili Wala tatu!!
Of course! ndio mtazamo wa waasisi wetu na ndio mtazamo wetu pia lkn. hili linahitaji uvumilivu mkubwa, so far we are on the track na naamini tutafikia huko kama siyo wajukuu zetu basi watoto wao. Ukiangalia zenj ya leo siyo ya 1964 Mainlanders are more acceptable and more powerful likewise to zanzibaris on mainland!
 
Katiba mpya inapaswa itambue Hilo!

Kama uchaguzi mkuu vyombo vya dola hutumika ku neutralize situation hata katiba mpya tuna neutralize na watazoea tu,halafu tunapata kwanza Rais kutoka visiwani makam Bara katiba zama za katiba ya serikali moja yeye atatumika kuwa neutralize wazanzibari wenzake kuwa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu hata serikali mbili zinazua changamoto za muungano hivyo serikali moja inatatua changamoto za muungano kirahisi!!

Mimi ninaamini ninauwezo wa kulisimamia Hilo la serikali moja likapita bila nongwa japo check and balance inatakiw iwepo!!
 
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake.

Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya Wazanzibari ambao nao hiyo Ardhi itakuwa wapemba na waunguja. Shikamoo Baba wa Taifa.

Taifa Hilo litakuwa na jeshi moja JWTZ wakati huko kisiwani kutakuwa na jeshi lao 🇹🇿🙏

Taifa la Tanzania litakuwa na Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamuhuri na kwa Tanzania anaweza tawala yeyote kati ya mtanganyika au Mzanzibari🤣🇹🇿🤐

Kutakuwa na vitu vya Muungano na vya Tanzania Mchanga wa Tanganyika na Zanzibar utaunganishwa na atakaye taka vunja Muungano apewe mchanga aanze tenganisha⁉️

Tanzania ni nchi isiofungamana na nchi yeyote ila Zanzibar wana dini yao.

Tanzania serikali Haina dini? What?😠🤐
Shida ya Nyerere alituchukulia kama wajinga na akajua ujinga hautakaa ututoke ndiyo maana akafanya aliyoyafanya
 
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake.

Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya Wazanzibari ambao nao hiyo Ardhi itakuwa wapemba na waunguja. Shikamoo Baba wa Taifa.

Taifa Hilo litakuwa na jeshi moja JWTZ wakati huko kisiwani kutakuwa na jeshi lao 🇹🇿🙏

Taifa la Tanzania litakuwa na Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamuhuri na kwa Tanzania anaweza tawala yeyote kati ya mtanganyika au Mzanzibari🤣🇹🇿🤐

Kutakuwa na vitu vya Muungano na vya Tanzania Mchanga wa Tanganyika na Zanzibar utaunganishwa na atakaye taka vunja Muungano apewe mchanga aanze tenganisha⁉️

Tanzania ni nchi isiofungamana na nchi yeyote ila Zanzibar wana dini yao.

Tanzania serikali Haina dini? What?😠🤐

Nyerere alipewa amri na waingereza , kanisa katoliki na wayahudi kuimeza Zanzibar kwani ndiwo waliomuweka madarakani. Lengo kuu ni kuuwa uislamu Zanzibar
 
Back
Top Bottom