n.k

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  2. dilungathegreat

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE DukaPoint: Imerahisisha utunzaji na upatikanaji wa kumbukumbu za biashara yako(mauzo, manunuzi, matumizi, stock n.k)

    Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake. Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu...
  3. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata uzoefu kuendesha Semi, semitrella n.k

    Ndugu zangu kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, kijana wenu nimerudi tena najua hapa jamiiforums ni junguu kuu lisiloisha ukoko, ambamo ndani yake Kuna watu wa Kariba na hali tofauti tofauti. Nipo mkoani Dar es salaam kwasasa. Nilipambana nikasoma udereva wa awali hivyo kuendesha gari...
  4. Victor Mwangomile

    JamiiForums Tanzania Nafanya analysis ya research data, translation ya articles (Eng-Sw; Sw-Eng), kutengeneza card mbalimbali

    Wanajamii, kwa mwenye uhitaji wa hizi huduma zifuatazo, anicheki Whatsapp mawasiliano 0676245401: 1) Data Analysis 2) Kupika data 3) Kutengeneza Logo 4) Kutoa ban whatsapp 5) Translation of articles/books/magazines(kutafsiri vitabu,majarida n.k) eng-kisw na kisw-eng 6) Kutengeneza card za...
  5. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri juu ya ufugaji viumbe hai majini ikiwemo samaki, mwani,kaa n.K kisasa (aquaculture)

    Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO Ufugaji Samaki Aina ya Sato Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023 RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  8. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vikontena / vifuko vya kuwekea pesa za mauzo havitoshi ama nafasi inbaki, Naweza kupata wapi vimifuko ama container vya kimo nachohitaji

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar ili na sisi tuzamie tupate uraia wa Zanzibar tupate nafuu ya ajira, vyeo, teuzi, n.k

    Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k. JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
  11. Tutu97

    JamiiForums Tanzania Kwa wahitaji wa kuandaliwa Research topic, concept note, proposal, report, research paper, an article n.k

    Kwa huduma tajwa hapo juu. Usisite kuuliza ni bure pia kupatiwa huduma at an affordable price kupitia namba ya simu +255755194070; barua pepe: mon.eycafeconsultancy@gmail.com Karibuni sana.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  14. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  18. Street brain

    JamiiForums Tanzania Wakuu tumeni project ya uhasibu kama vile template za bank reconciliation n.k

    Wana jf habari za muda huu Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata orodha ya taasisi zote, mamlaka zote, Asasi za Kiraia, Non profit Organizations na Vyama mbalimbali?

    Habari za maisha wakuu, Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia. Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
Back
Top Bottom