n.k

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

    Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli. Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza wasanii wanataka watu kama Babu Tale, Salam n.k kwenye shirikisho

    Niwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo. Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

    Salama wakuu Ningependa kujuwa sababu za msingi na za kueleweka kuhusu Vinywaji Vikali,, Nimeenda maeneo mengi kunywa ila sijabahatika kukuta asilimia kubwa ya Vinywaji Vikali vikiwa kwenye friji je sababu kubwa huwa ni ipo? Ningependa kujuwa ni maeneo gani naweza pata K-vant ya baridi au...
  6. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliweza kumaliza mitihani yako, weka hapa stori yako, mbinu, changamoto kuwapa matumaini watahiniwa

    Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kupata access ya kulitumia gari lako/ Car Fingerprint push to start/ Door locks n.k.

    Habari Guys Nina Biometric kit mbili kwa ajili ya magari. Lengo ni mtu kupunguza idadi ya watu wanaoweza kuaccess gari lako. Kuna option mbili Naweza kuuza mojamoja zikafungwa kwenye gari mbili tofauti, Maana yake mtu hatoweza kuwasha au kuondoka na hilo gari unless awe ameregister vidole...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  11. Heinz Consulting

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama watu hawaandikishwi wakiingia lock-up basi ni ngumu kutrace kuhusu akina Ben Saanane, Azory, n.k

    Yaani Wanasheria wa Serikali walinishangaza sana kuleta ushahidi ambao unaonesha watu hawakuwekwa lock-up pale TAZARA wakati wahusika wanajua kabisa waliwekwa lock-up hiyo. Mashahidi wa Serikali walishadadia sana kwa ushahidi wa sijui Jumanne yule kuonesha kuwa eti watuhumiwa hawakuwa lock-up...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

    Nasema hivo kwa sababu zifatazo: Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo hakuna kilichoelezwa kwa undani tofauti na propaganda! Naweza kuamini kuwa Kakoko alitolewa pale...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa wakala wa nywele bandia kama weaving, laster, wig n.k

    Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k. Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji kila company anisaidie. Nitashukuru sana.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Bila capital inflow na FDI hatuwezi kutoboa, hata S.Korea, Malaysia n.k wasingetoboa

    Watanzania tulidanganywa sana, nimemaliza Master Degree in Development Economics (MDE), nimesoma cases nyingi za nchi zilizokuwa maskini kama sisi wakati tunapata uhuru lakini sasa zimeshaingia nchi zilizoimarika kiuchumi. Ukiachilia mbali S.Korea, Malaysia n.k. Hata nchi za Afrika...
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Wahusika hawaziondoi jumbe zisizofaa zinapopostiwa kwenye page zao kama Inst n.k?

    Inatokea unakutana na posti ya maana tu tena kwenye page ya Mtu wa heshima, ila unapoenda upande wa comment unakutana na comment isiyohusiana kabisa na kilichopostiwa na mbaya zaidi ni comment ya matusi. Hivi Mwenye page haoni kama hilo linawakwaza wale wanaomfuata? Hawana namna ya kuziondoa?
  17. Thailand

    JamiiForums Tanzania SoC01 M-pesa Kibubu, Tigo Pesa Kibubu n.k: Njia nyepesi ya kuweka akiba kwa wananchi

    Habari ndugu! Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Habari wakuu, Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara, Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
  19. Guru Master

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana. Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi. Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
  20. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
Back
Top Bottom