Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

nigastm

Member
Sep 8, 2021
7
3
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.

Kwa mawasiliano 0786168340
 
Habari zenu!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Dar es Salaam
 
Habari, naombeni connection ya kupata gari la kufanyia kazi Tax Mtandao. Mi ni dereva nina miaka 25, nimesoma VIP. Nina vigezo vyote kama Dereva, Nipo Tabata. kwa mwenye gari tafadhari naomba tuwasiliane.

Namba yangu 0757364989
 
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340

Habari, Naitwa Mohamed ni Driver tax mtandao, natafuta gari ya kufanyia kazi BOLT /UBER... Ninauzoefu wa kutosha ikiwa pamoja na account za tax online

Mwenye Uhitaji wa dereva asisite kunitafuta kwa sababu mimi sikatika madereva wasio jali na kuthamini makubaliano na kazi kwa ujumla hivyo bosi wangu asihofu wala kuwaza kuwa atapata msongo kuhusu Hesabu na namna ya kukitunza chombo Nina majukumu najua ninacho kifanya...

Mawasiliano yangu. 0743153990
 
Habari. Bado unahitaji gari ya uber/bolt?
 
Habari,

Naitwa Nigast ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai.

Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza fanyia kazi. Tunaweza wasiliana muda wowote kwa namba 0786168340. Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom