Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya.
Watu hao nafikiri hawako timamu kwenye masuala ya kuangalia timu kiufundi bali wanasukumwa na mihemuko aidha ya chuki...
Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na kulipa mishahara na posho watumishi wa umma na wanasisa.Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu...
Habari wadau!
Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu.
Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu...
Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na ni niia zipi naweza gundua kuwa nadukuliwa..?
Ni hivyo tu..
Wale wazee wa road trip ambao mmepanga kutumia barabara ya Morogoro.
Wale wakazi wa kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Mbezi Mwisho.
Kuna ajali ya lori maeneo ya Kimara Mwisho usawa wa kituo cha BRT kiasi kwamba inalazimu magari yanayotoka mjini kutumia Lane ya BRT kuingilia Kimara Korogwe.
Hivyo...
Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa ninawaletea namna ya kufanikisha utegaji na nyuki waweze kuingia ndani ya mzinga.
Hatua za kufuata;
1. Chukua...
Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
“You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding conditions, we carefully monitor that changing and updating data" (Anthony S. Fauci, infectious-disease...
Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani.
Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2.
Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu.
Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo.
Nimejaribu google na...
Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote...
Uwepo wa kila kilichopo semehu kilipo ni matokeo ya muunganiko wa mihimili kadhaa. Hivyo hivyo maisha ya binadamu katika hii dunia yanayo mihimili yake, moja kati ya mhimili wa mhimu katika haya maisha yetu ya leo unaotufanya tuishi tunavyo ishi ni uchumi.
Uchumi katika ulimwengu umekuwa...
Kwa wale wageni Arusha,
Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili
Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi.
Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda yamepunguza adha na changamoto ya usafiri kwa kiasi kikubwa sana hasa katika maeneo ambayo...
Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa.
“Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
Kuna jamaa yangu alikuja kuniomba shilingi 50000 nikamuuliza una shida nayo ipi kiufupi hakuwa na jibu la maana maelezo yalikuwa mengi sio siri nikamwambia sina kumbe hela ipo ila hakunishawishi kumpatia.
Alafu kuna mwingine alikuja kwangu ana kiwanja anauza tukaenda kukicheki akanionyesha kila...
Habari ndugu!
Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao.
Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani.
Naona...
Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba.
Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.